Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 731
- 1,158
Tuoen naujuzu wakuu m55 mbn hela ya kawaida ongeza nondo tukawekeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dumu mzeeeeeee?????Mimi nauliZa hivi mercury nyekundu dumu mojaa inawez kuwa bei gani hii kitu nipambana sana kuipata ila now naogap kulizwaa msaada
elmagnifico Mujomba usikimbie uzi
Hivi naweza kupata namba yako ya simu au email cz kunabiashara flani hapo nataka tuifanye. Upande wa vifaa mnavotumia.
Mkuu itakuwa bora kwanza ufike eneo la tukio uone hali halisi. Ila kama unaweza supply zile gunia za katani siyo jute huku ni deal sana maana ndizo zinatumika kutoa mawe shimon na zinauzwa hadi 8000 iwe used or mpya
Nilifanya kazi ya uchenjuaji kule Rwamgasa kwa muda kidogo
Pamoja na kupata kauzoefu wa kuchagua mawe(wanaita kupiga chabo) sikufanikiwa
Nilijifunza mambo matatu:
1.Ni biashara inayohitaji mtaji mkubwa, ukiingia na mtaji mdogo kuna asilimia kubwa sana ya kupoteza.
2. Ni biashara inayohitaji mtu asiyekata tamaa haraka na aliyeweka moyo, akili na nguvu zake zote humo.
3. Mbali na kucenjua dhahabu yenyewe, kuna fursa nyingi sana zimezunguka wachimbaji wadogo mfano kuuza mercury, kuuza vyakula, mafuta/petroli kwaajili ya crusher nk
Ukishaona mtu anakuita kwenye maswala ya dhahabu jua unaenda pigwa
KaribuNaweza kuongea na wewe private
0778353535Karibu
Kweli, upo mnunuzi mkuu wa marudio Kanda ya Ziwa?Hhaahaha..haipo hyo.inaonekan ni zaidi yamgeni!lols
Kweri, upo mnunuzi mkuu wa Marudio Kanda ya ziwa?
Ukiwa na mtaji mdogo inatakiwa uanze na biashara ya kutafuta duara, ukibahatisha kupata duara unaweza pata Marudio ya bei nafuu Kisha mambo yanaenda VizuriNilifanya kazi ya uchenjuaji kule Rwamgasa kwa muda kidogo
Pamoja na kupata kauzoefu wa kuchagua mawe(wanaita kupiga chabo) sikufanikiwa
Nilijifunza mambo matatu:
1.Ni biashara inayohitaji mtaji mkubwa, ukiingia na mtaji mdogo kuna asilimia kubwa sana ya kupoteza.
2. Ni biashara inayohitaji mtu asiyekata tamaa haraka na aliyeweka moyo, akili na nguvu zake zote humo.
3. Mbali na kucenjua dhahabu yenyewe, kuna fursa nyingi sana zimezunguka wachimbaji wadogo mfano kuuza mercury, kuuza vyakula, mafuta/petroli kwaajili ya crusher nk
Nipo 10 meter (7 mizamo), kwa sasa natafuta timba nianze kufunga, safari yangu ni 22 mizamo au (32meter). Before Xmas natakiwa nianze production. Njoo unizamini matimba tajiri[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]!eti kanda ya ziwa...hahha...boss wangu tunahangaika !alhamudulilah...ile ishu naomba nikirudi nikuchek..vip ile mambo imefika mizamo mingap? Nije[emoji28]
Nipo 10 meter (7 mizamo), kwa sasa natafuta timba nianze kufunga, safari yangu ni 22 mizamo au (32meter). Before Xmas natakiwa nianze production. Njoo unizamini matimba tajiri
Hahaha. Hapa hayana garama Sana. Njoo upate share ya matimba tajiri usiogope.Hongera sana..umekimbia...boss matimba hapana hhhaa..ww uko gado nakufahamu...!matimba shughuli yake pevu
😅😅aisee...acha kebehi mzee boss...eti tajiri🤣...!lakini ntakuja...si maduara yako mengi??nisimike gest mie!😎Hahaha. Hapa hayana garama Sana. Njoo upate share ya matimba tajiri usiogope.
Maduara mawili tu nashusha mwenyewe lakini ninalamani ya uhakika ya Utajiri hapo. Andaa ramani ya gest. Kunamukanda wa nyanda 24 wenye ppm 20[emoji28][emoji28]aisee...acha kebehi mzee boss...eti tajiri[emoji1787]...!lakini ntakuja...si maduara yako mengi??nisimike gest mie![emoji41]