Wekeza pesa kidogo kuzailiza mtaji mkubwa wa mamilioni ya pesa

Wekeza pesa kidogo kuzailiza mtaji mkubwa wa mamilioni ya pesa

Ungeomba Mods walau warekebishe hiyo heading tu, huku kwingine tutavumilia tu...sasa tutafanyeje na ndio Bongo yetu hii.
 
*FURSA
Unapo sema FULSA unamaanisha kitu kingine kabisaa,
tuwe makini sana ktk matumizi ya "R" na "L" vinginevyo tutashindwa kueleweka, tusiharibu lugha yetu adhimu.
 
jmni wana JF punguzeni kauri za kukatishana tamaa au kutukama looo mkitukana kwani mnafaidika nini mi sijawashirikisha kwa nia mbaya na kama unaona haikufai siunapita tyu jmni
 
Changamkia mwenyewe hiyo fulsa ili upate hao mamirioni ukasome Kozi ya Kiswahili.
hahaa inawezekana akawa mmoja wa wale wanaotutumiaga msg sijui nina dawa ya utajiri, maana kiswahili chao ni hikihiki sijui wanafundishana wapi.
 
Wekeza pesa kidogo kuzailiza mtaji mkubwa wa mamilioni ya pesa haiitaji kushilikisha mtu unaandaa mtaji wako mdogo ambapo baada ya miezi minne pesa yako ya mtaji inaludi na unabaki kula faida miezi 8 iliyobaki ili kujifunza zaidi ni pm kwa kuandika namba zako na neno niunge hapo chap nitakuunga katika group la mafunzo kabla ya kuchukua uwamuzi. Bitclub Advantage haijawahi kumuangusha mtu mwenye malengo wekeza pesa sasa .

KARIBUNI SANA
Acha utapeli waambie ndugu zako wawekeze huko.
 
tatizo mmeshazoea kutapeliwa wapendwa ila sio wote ni matapeli hapa tunashirikishana kitu kizuri ili tusaidiane wote kimaisha jmani
hiyo fursa ndugu zako umewaunga tuonyeshe hapa ushahidi wa kufanikiwa kwao na kwako, kwanini usitafute kazi halali ya kufanya kuliko kuhangaika na utapeli.
 
Back
Top Bottom