Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

Huo mtaji ni mzuri iwapo utasogea hapo jirani KENYA upate uzoefu au mafunzo kwa wale wa SACCOS
Then turn back home wawekezaji naamini wapo kikubwa sheria za SACCOS ziheshimiwe
 
Kenya mambo mengi ni Sacco owned
 
Aya ndio mawazo tunayotaka ila hapa watajaa wabishi na yataishia hewani.

Dividends zikoje au ukiwekeza unasubiria mpaka tumalize madeni yote ndio dividends zinaanza?

How dividends will be calculated through shares or percentage?
 
tunafunga capital itakapofika Tsh. 1.5B hatutaongeza tena

hivyo

kiasi utakachowekeza/1.5B X 100 = asilimia utakazokuwa unamiliki

Mfano:
utawekeza 100M
Hivyo,

100 000 000/ 1 500 000 000 x 100 = 6.6%
 
Kijana Idea nzuri sana achana na hao ma critics we Pambana mpk kieleweke siku moja itatimia Tz tunahitaji watu kama nyie weny uwezo wa kubadili fikra potofu kuwa ndoto kamili hata mbuyu ulianza kama mchicha kikubwa tu Mtangulize Mungu
 
shukran sana Mkuu [mention]Wendo click23 [/mention]
 
Hatuwezi kuendelea ikiwa tunadhani kila project ama proposal inayokuja mbele yetu tukaitupa kwenye dustbin ya utapeli[emoji1752]

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Kampuni yenu itakuwa imara maana kuna shareholder Mshana ambaye ni mchawi mwandamizi.[emoji23]

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
ungeomba kibali latra, bus zako tatu zifanye route ya dar to moshi na arusha (hakuna kulala), asubuhi zinageuka kurudi dar na abiria kama kawaida. hii route ina hela kinyama
Kuna service kuna kupumzisha chombo na wafanyakazi kumbuka.. Dar Dom bado ni the best route kwa kuanzia

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Hawa ulio watag ndio mmoja ya wawekezaji au ndio influencers wa uzi wako ?
 
Hii ni biashara ya ndoto zangu. Ile hela ya kununua Coaster 2 yote nitawekeza hapa
 
Kwa nini msianze na cheap buses za kachina, na shareholders wachache kwanza kama kikundi cha kimkakati.
Program startup 1st June 2023.
Naomba niwepo!
Rejeo

Ni gari nzuri mno kimuoneka like Yutong,Higer etc,

Life Span ya gari la kichina maximum ni 3 years wanakupa guarantee ya matengenezo ya mwaka mmoja

Model ya business ya mabus yoyote ile inaweza kulipa gharama za manunuzi ya Bus ndani ya Miaka 3 nje na interest

Ikiwa na maana Gari litakufa kabla hujamaliza kulilipia interest, faida utaipatia wapi??

kwa kampuni zilizokuwa like Shabiby etc anatumia gari mwaka mmoja guarantee ya matengenezo ikiiisha naye analiuza linaenda kumfia mwingine

UPANDE WA SCANIA
Bei iko juu kiasi hatukatai
Life span ya Bus ni matunzo yako ukilipa matunzo bora linaweza kukaa barabarani zaidi ya Miaka 10
Service Guarantee wanakupa ya Miaka 3
Hivyo unaweza malizia mkopo wa bus na ukawa na muda mrefu wa kutafuta faida yako ya kukutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…