Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya mambo mengi ni Sacco ownedMimi nadhani kama mna hiyo 300m undeni kampuni ila watu waje na mabasi yao wawekeze. Nyie muwe wasimamizi wa shughuli zote za kampuni. Hao watakaoweka mabasi yao wawe wanapata tu mgawo. Kule Kenya kuna hizi gari ziko chini ya kampuni za namna hiyo.. kwa mfano NAEKANA SACCO ya Namanga - Nairobi. Hawa wamiliki wa mabasi machache wajisalimishe kwenu. Wawe shareholders. Kampuni yenu itakuwa imara maana kuna shareholder Mshana ambaye ni mchawi mwandamizi.
Mwenye uzi wake ameadmit kuwa ni mawazo chanya ...soma huko juu utaona alicho commentmaelezo hayawezi kumshawishi mtu kuwekeza.
Habari Wakuu,
Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu.
Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la iliyokuwa kampuni bora ya usafirishaji wa Abiria, Parcels na Mizigo ya kati na mikubwa ya Scandinavia Express, hakuja tokea kampuni yenye kutoa viwango vya huduma katika level waliyokuwa nayo.
Hii nikutokana na kuwa wafanyabiashara wengi wanaoingia katika tasnia hii kutokuweka kipaumbele katika utoaji wa huduma nikiwa na maana huduma za kabla ya kupanda basi (kukata tiketi, ukkabidhiji wa mizigo, booking system etc) na zile za baada ya abiria kupanda basi (kauli nzuri, chakula standard, mwendo mzuri wenye kuzingatia mashimo ama matuta usioumiza shingo wala mgongo)
Hivyo basi uzi huu ni special kabisa kwa wawekezaji wote watakaopenda kuwekeza kwenye kampuni tutakayoianzisha ambayo itaenda kuwa zaidi ya ilivyokuwa Scandinavia Express.
Nini tunapanga kuoffer kuweza kufikia ama kuzipita level za ilivyokuwa Scandinavia Express
1.Kutengeneza Private Stand zenye Standards bora kwa gharama nafuu
Hapa ikijumuisha design bora ya kuruhusu bus kuingia, kupark na kutoka kiurahisi.
Sehemu maalumu ya kupokea, kupangilia na kutumia mizigo ambapo tutaongezea na huduma za ziada kama custom packaging design za kampuni yetu ambapo itajumuisha printed sticker zinazoonyesha ni nani anatuma mzigo na nani ndiye mpokeaji....gharama hizi zitakuwa mficho kwenye gharama za utumaji mzigo.
Mfano Wake:
View attachment 2504999
2.Printed tickets
Tutatoa Tickets ambazo ziko printed instead ya zile za kuandikwa kwa mkono
3.Door to Door delivery
Baada ya mizigo kufika destination tutaweza kuwafanyia wateja wetu a door to door delivery kwa gharama za chini kuna project special ambayo kwa kuitumia tutaweza kuminimize cost kwenye ufanyaji huu wa delivery.
4.Standard Food na kwa bei affordable
Tutawezesha abiria kuweka booking ya chakula atakachohitaji through applikesheni ambayo bus host atakuwa nayo, gharama za chakula ni mficho kwenye nauli ya kusafiria.
Tutatengeneza simple resteurant ambayo ndiyo itakayokuwa inatengeneza chakula hicho kuhakikisha standards zimezingatiwa halikadhalika hatupotezi hela kwenda nje ya eco-system yetu.
5.Mafunzo kwa Madereva na Hostess
Kabla ya kampuni kuanza rasmi kusafirisha tutawapiga brush la nguvu hostess na madereva wetu, upande wa Madereva kuna special kozi kwa kushirikiana na Scania Tanzania wataweza kuipata juu ya namna bora ya uendeshaji wa Mabus yao etc
na hata baada ya kuanza rasmi kila siku kabla na baada ya safari watapitia kumbusho la mafunzo na msisitizo wa yapi yafanywe ama kutokufanywa kipindi chote cha safari hii yote ni kumaintain standards za huduma.
Haya ni machache kati ya mengi tutakayoweza kuyafanya kuhakikisha huduma zetu zinakuwa bora muda wote.
Mchanganuo wa Biashara kiufupi.
Biashara ya Mabus si lelemama yahitaji usimamizi yakinifu wa kila siku ...
Nimebahatika kufanya mazungumz na kampuni 5 za watengenezaji wa Mabus,
1.Higer 2. Scania 3.Yutong 4. Asia Star 5. Volvo
Kwa kuzingatia huduma, upatikani wa vipuri, Guarantee ya uhakika gari kuwepo barabari kwa muda mrefu etc
Imeiweka mbele zaidi kampuni ya Scania kuwa chaguo letu bora zaidi
GHARAMA ZA UANZILISHWAJI WA PROJECT HII
1.Mabus 6
Ambapo kwa Scania wanatoa ofa ya mkopo kwa kulipia kianzio cha 25% cha bei ya bus huku mkikubaliana kipindi cha kufanya marejesho aidha siku,week,mwezi ama miezi etc
Bus moja ni Tsh. 710M
25% YA Bus ni Tsh. 177.5M
25% Kwa Mabus 6 ni Tsh. 1.065B
2. 3 (Three) Private Stands/Yard
Target yetu ni kuanza na route moja ya Dar - Dodoma
Hivyo tutakuwa na main two private stands + 1 stand itakayokuwepo Morogoro ikijumuisha na resteurant etc
Kila moja kuanzia gharama za kiwanja, matengenezo na vifaa tunakadiria 100M each hivyo kwa stand 3 itacost
Tsh. 300M
3.Total Cost
6 buses + Stands + Gharama mficho hadi kuanza kuingiza pato la mwanzo = Tsh 1.5B
KWA UZINGATIVU
Kwa watakaopenda kutoa maoni mawazo ama maswali uwanja huu ni wenu.
Uwekezaji wowote kuanzia Tsh. 500 000 unakaribishwa, karibu kwenye project itakayoenda kubadilisha ulimwengu wa usafirishaji Tanzania na East Africa
Mchanganuo huu ni kwa ufupi mno kwa yoyote atakaye hitaji kufanya uwekezaji basi ninaunda group WhatsApp
ambapo nitaweza kutoa ufafanuzi wa vipi faida utakavyoweza kuipata wewe muwekezaji na vipi usimamizi utakavyokuwa
Mshana Jr Bavaria Shimba ya Buyenze Kasie Herbalist Dr MziziMkavu Bujibuji Simba Nyamaume
Aya ndio mawazo tunayotaka ila hapa watajaa wabishi na yataishia hewani.
Dividends zikoje au ukiwekeza unasubiria mpaka tumalize madeni yote ndio dividends zinaanza?
How dividends will be calculated through shares or percentage?
Kijana Idea nzuri sana achana na hao ma critics we Pambana mpk kieleweke siku moja itatimia Tz tunahitaji watu kama nyie weny uwezo wa kubadili fikra potofu kuwa ndoto kamili hata mbuyu ulianza kama mchicha kikubwa tu Mtangulize MunguHabari Wakuu,
Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu.
Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la iliyokuwa kampuni bora ya usafirishaji wa Abiria, Parcels na Mizigo ya kati na mikubwa ya Scandinavia Express, hakuja tokea kampuni yenye kutoa viwango vya huduma katika level waliyokuwa nayo.
Hii nikutokana na kuwa wafanyabiashara wengi wanaoingia katika tasnia hii kutokuweka kipaumbele katika utoaji wa huduma nikiwa na maana huduma za kabla ya kupanda basi (kukata tiketi, ukkabidhiji wa mizigo, booking system etc) na zile za baada ya abiria kupanda basi (kauli nzuri, chakula standard, mwendo mzuri wenye kuzingatia mashimo ama matuta usioumiza shingo wala mgongo)
Hivyo basi uzi huu ni special kabisa kwa wawekezaji wote watakaopenda kuwekeza kwenye kampuni tutakayoianzisha ambayo itaenda kuwa zaidi ya ilivyokuwa Scandinavia Express.
Nini tunapanga kuoffer kuweza kufikia ama kuzipita level za ilivyokuwa Scandinavia Express
1.Kutengeneza Private Stand zenye Standards bora kwa gharama nafuu
Hapa ikijumuisha design bora ya kuruhusu bus kuingia, kupark na kutoka kiurahisi.
Sehemu maalumu ya kupokea, kupangilia na kutumia mizigo ambapo tutaongezea na huduma za ziada kama custom packaging design za kampuni yetu ambapo itajumuisha printed sticker zinazoonyesha ni nani anatuma mzigo na nani ndiye mpokeaji....gharama hizi zitakuwa mficho kwenye gharama za utumaji mzigo.
Mfano Wake:
View attachment 2504999
2.Printed tickets
Tutatoa Tickets ambazo ziko printed instead ya zile za kuandikwa kwa mkono
3.Door to Door delivery
Baada ya mizigo kufika destination tutaweza kuwafanyia wateja wetu a door to door delivery kwa gharama za chini kuna project special ambayo kwa kuitumia tutaweza kuminimize cost kwenye ufanyaji huu wa delivery.
4.Standard Food na kwa bei affordable
Tutawezesha abiria kuweka booking ya chakula atakachohitaji through applikesheni ambayo bus host atakuwa nayo, gharama za chakula ni mficho kwenye nauli ya kusafiria.
Tutatengeneza simple resteurant ambayo ndiyo itakayokuwa inatengeneza chakula hicho kuhakikisha standards zimezingatiwa halikadhalika hatupotezi hela kwenda nje ya eco-system yetu.
5.Mafunzo kwa Madereva na Hostess
Kabla ya kampuni kuanza rasmi kusafirisha tutawapiga brush la nguvu hostess na madereva wetu, upande wa Madereva kuna special kozi kwa kushirikiana na Scania Tanzania wataweza kuipata juu ya namna bora ya uendeshaji wa Mabus yao etc
na hata baada ya kuanza rasmi kila siku kabla na baada ya safari watapitia kumbusho la mafunzo na msisitizo wa yapi yafanywe ama kutokufanywa kipindi chote cha safari hii yote ni kumaintain standards za huduma.
Haya ni machache kati ya mengi tutakayoweza kuyafanya kuhakikisha huduma zetu zinakuwa bora muda wote.
Mchanganuo wa Biashara kiufupi.
Biashara ya Mabus si lelemama yahitaji usimamizi yakinifu wa kila siku ...
Nimebahatika kufanya mazungumz na kampuni 5 za watengenezaji wa Mabus,
1.Higer 2. Scania 3.Yutong 4. Asia Star 5. Volvo
Kwa kuzingatia huduma, upatikani wa vipuri, Guarantee ya uhakika gari kuwepo barabari kwa muda mrefu etc
Imeiweka mbele zaidi kampuni ya Scania kuwa chaguo letu bora zaidi
GHARAMA ZA UANZILISHWAJI WA PROJECT HII
1.Mabus 6
Ambapo kwa Scania wanatoa ofa ya mkopo kwa kulipia kianzio cha 25% cha bei ya bus huku mkikubaliana kipindi cha kufanya marejesho aidha siku,week,mwezi ama miezi etc
Bus moja ni Tsh. 710M
25% YA Bus ni Tsh. 177.5M
25% Kwa Mabus 6 ni Tsh. 1.065B
2. 3 (Three) Private Stands/Yard
Target yetu ni kuanza na route moja ya Dar - Dodoma
Hivyo tutakuwa na main two private stands + 1 stand itakayokuwepo Morogoro ikijumuisha na resteurant etc
Kila moja kuanzia gharama za kiwanja, matengenezo na vifaa tunakadiria 100M each hivyo kwa stand 3 itacost
Tsh. 300M
3.Total Cost
6 buses + Stands + Gharama mficho hadi kuanza kuingiza pato la mwanzo = Tsh 1.5B
KWA UZINGATIVU
Kwa watakaopenda kutoa maoni mawazo ama maswali uwanja huu ni wenu.
Uwekezaji wowote kuanzia Tsh. 500 000 unakaribishwa, karibu kwenye project itakayoenda kubadilisha ulimwengu wa usafirishaji Tanzania na East Africa
Mchanganuo huu ni kwa ufupi mno kwa yoyote atakaye hitaji kufanya uwekezaji basi ninaunda group WhatsApp
ambapo nitaweza kutoa ufafanuzi wa vipi faida utakavyoweza kuipata wewe muwekezaji na vipi usimamizi utakavyokuwa
Mshana Jr Bavaria Shimba ya Buyenze Kasie Herbalist Dr MziziMkavu Bujibuji Simba Nyamaume
Kijana Idea nzuri sana achana na hao ma critics we Pambana mpk kieleweke siku moja itatimia Tz tunahitaji watu kama nyie weny uwezo wa kubadili fikra potofu kuwa ndoto kamili hata mbuyu ulianza kama mchicha kikubwa tu Mtangulize Mungu
I see aisee [emoji848][emoji2827][emoji3]Ukihitaji Sangoma wa uhakika wa kufanikisha hilo uniambie usije sumbuka na wale wazee wa mchogo akina Mshana Jr

NotedHapa kuna co-member ambaye pia ni mmoja wapo wa atakayekuwa msimamizi nadhani maybe kwa kumfahamu yaweza kukupa picha ya kuwa tunaenda kutengeneza kitu kikubwa muda si mrefu
CC. Mshana Jr
Hatuwezi kuendelea ikiwa tunadhani kila project ama proposal inayokuja mbele yetu tukaitupa kwenye dustbin ya utapeli[emoji1752]Mkuu even kwa Marekani wameface utapeli mkubwa na failures kubwa kupitia Start-Up tokea zamani na hata sasa
Mfano
1.Theranos ya Mwanadada Elizabeth Holmes
2.FTX
3.Windows Phone toka Microsoft
4.Unaikumbuka Blackberry
5.Nikola, Electric Trucks
6.Worldcom
7.Quibi
8.Wirecard
9.WeWork Disaster
10.Enron
etc
Hatuwezi kuendelea ikiwa tunadhani kila project ama proposal inayokuja mbele yetu tukaitupa kwenye dustbin ya utapeli
Mara mia ukajaribu kuuliza ama kushauri tuweke kipengele gani ambacho kitawalinda wawekezaji kuliko kuishia kukosoa ukabaki hapo wadhani huo ndo uGreat Thinker??
Kampuni yenu itakuwa imara maana kuna shareholder Mshana ambaye ni mchawi mwandamizi.[emoji23]Mimi nadhani kama mna hiyo 300m undeni kampuni ila watu waje na mabasi yao wawekeze. Nyie muwe wasimamizi wa shughuli zote za kampuni. Hao watakaoweka mabasi yao wawe wanapata tu mgawo. Kule Kenya kuna hizi gari ziko chini ya kampuni za namna hiyo.. kwa mfano NAEKANA SACCO ya Namanga - Nairobi. Hawa wamiliki wa mabasi machache wajisalimishe kwenu. Wawe shareholders. Kampuni yenu itakuwa imara maana kuna shareholder Mshana ambaye ni mchawi mwandamizi.
Kuna service kuna kupumzisha chombo na wafanyakazi kumbuka.. Dar Dom bado ni the best route kwa kuanziaungeomba kibali latra, bus zako tatu zifanye route ya dar to moshi na arusha (hakuna kulala), asubuhi zinageuka kurudi dar na abiria kama kawaida. hii route ina hela kinyama
Kwa nini msianze na cheap buses za kachina, na shareholders wachache kwanza kama kikundi cha kimkakati.300M
Be positiveDesi,kuku, mahindi songea. ..tutajua
Habari Wakuu,
Matumaini yangu mko njema na kwa wale wanaopitia heka heka na magumu Mungu abariki mihangaiko yenu iwe yenye kulipa fadhila la jasho lenu linalochuruzika kila kukicha.
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye kiini cha uzi huu.
Kwa miaka kadhaa sasa baada ya anguko la iliyokuwa kampuni bora ya usafirishaji wa Abiria, Parcels na Mizigo ya kati na mikubwa ya Scandinavia Express, hakuja tokea kampuni yenye kutoa viwango vya huduma katika level waliyokuwa nayo.
Hii nikutokana na kuwa wafanyabiashara wengi wanaoingia katika tasnia hii kutokuweka kipaumbele katika utoaji wa huduma nikiwa na maana huduma za kabla ya kupanda basi (kukata tiketi, ukkabidhiji wa mizigo, booking system etc) na zile za baada ya abiria kupanda basi (kauli nzuri, chakula standard, mwendo mzuri wenye kuzingatia mashimo ama matuta usioumiza shingo wala mgongo)
Hivyo basi uzi huu ni special kabisa kwa wawekezaji wote watakaopenda kuwekeza kwenye kampuni tutakayoianzisha ambayo itaenda kuwa zaidi ya ilivyokuwa Scandinavia Express.
Nini tunapanga kuoffer kuweza kufikia ama kuzipita level za ilivyokuwa Scandinavia Express
1.Kutengeneza Private Stand zenye Standards bora kwa gharama nafuu
Hapa ikijumuisha design bora ya kuruhusu bus kuingia, kupark na kutoka kiurahisi.
Sehemu maalumu ya kupokea, kupangilia na kutumia mizigo ambapo tutaongezea na huduma za ziada kama custom packaging design za kampuni yetu ambapo itajumuisha printed sticker zinazoonyesha ni nani anatuma mzigo na nani ndiye mpokeaji....gharama hizi zitakuwa mficho kwenye gharama za utumaji mzigo.
Mfano Wake:
View attachment 2504999
2.Printed tickets
Tutatoa Tickets ambazo ziko printed instead ya zile za kuandikwa kwa mkono
3.Door to Door delivery
Baada ya mizigo kufika destination tutaweza kuwafanyia wateja wetu a door to door delivery kwa gharama za chini kuna project special ambayo kwa kuitumia tutaweza kuminimize cost kwenye ufanyaji huu wa delivery.
4.Standard Food na kwa bei affordable
Tutawezesha abiria kuweka booking ya chakula atakachohitaji through applikesheni ambayo bus host atakuwa nayo, gharama za chakula ni mficho kwenye nauli ya kusafiria.
Tutatengeneza simple resteurant ambayo ndiyo itakayokuwa inatengeneza chakula hicho kuhakikisha standards zimezingatiwa halikadhalika hatupotezi hela kwenda nje ya eco-system yetu.
5.Mafunzo kwa Madereva na Hostess
Kabla ya kampuni kuanza rasmi kusafirisha tutawapiga brush la nguvu hostess na madereva wetu, upande wa Madereva kuna special kozi kwa kushirikiana na Scania Tanzania wataweza kuipata juu ya namna bora ya uendeshaji wa Mabus yao etc
na hata baada ya kuanza rasmi kila siku kabla na baada ya safari watapitia kumbusho la mafunzo na msisitizo wa yapi yafanywe ama kutokufanywa kipindi chote cha safari hii yote ni kumaintain standards za huduma.
Haya ni machache kati ya mengi tutakayoweza kuyafanya kuhakikisha huduma zetu zinakuwa bora muda wote.
Mchanganuo wa Biashara kiufupi.
Biashara ya Mabus si lelemama yahitaji usimamizi yakinifu wa kila siku ...
Nimebahatika kufanya mazungumz na kampuni 5 za watengenezaji wa Mabus,
1.Higer 2. Scania 3.Yutong 4. Asia Star 5. Volvo
Kwa kuzingatia huduma, upatikani wa vipuri, Guarantee ya uhakika gari kuwepo barabari kwa muda mrefu etc
Imeiweka mbele zaidi kampuni ya Scania kuwa chaguo letu bora zaidi
GHARAMA ZA UANZILISHWAJI WA PROJECT HII
1.Mabus 6
Ambapo kwa Scania wanatoa ofa ya mkopo kwa kulipia kianzio cha 25% cha bei ya bus huku mkikubaliana kipindi cha kufanya marejesho aidha siku,week,mwezi ama miezi etc
Bus moja ni Tsh. 710M
25% YA Bus ni Tsh. 177.5M
25% Kwa Mabus 6 ni Tsh. 1.065B
2. 3 (Three) Private Stands/Yard
Target yetu ni kuanza na route moja ya Dar - Dodoma
Hivyo tutakuwa na main two private stands + 1 stand itakayokuwepo Morogoro ikijumuisha na resteurant etc
Kila moja kuanzia gharama za kiwanja, matengenezo na vifaa tunakadiria 100M each hivyo kwa stand 3 itacost
Tsh. 300M
3.Total Cost
6 buses + Stands + Gharama mficho hadi kuanza kuingiza pato la mwanzo = Tsh 1.5B
KWA UZINGATIVU
Kwa watakaopenda kutoa maoni mawazo ama maswali uwanja huu ni wenu.
Uwekezaji wowote kuanzia Tsh. 500 000 unakaribishwa, karibu kwenye project itakayoenda kubadilisha ulimwengu wa usafirishaji Tanzania na East Africa
Mchanganuo huu ni kwa ufupi mno kwa yoyote atakaye hitaji kufanya uwekezaji basi ninaunda group WhatsApp
ambapo nitaweza kutoa ufafanuzi wa vipi faida utakavyoweza kuipata wewe muwekezaji na vipi usimamizi utakavyokuwa
Mshana Jr Bavaria Shimba ya Buyenze Kasie Herbalist Dr MziziMkavu Bujibuji Simba Nyamaume
Hii ni biashara ya ndoto zangu. Ile hela ya kununua Coaster 2 yote nitawekeza hapaHabari Wakuu,

RejeoKwa nini msianze na cheap buses za kachina, na shareholders wachache kwanza kama kikundi cha kimkakati.
Program startup 1st June 2023.
Naomba niwepo!