Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

Wekeza sasa kwa Scandinavia Express ijayo | Biashara ya Mabus

Wazo zuri, ila katika kupunguza gharama za uanzishwaji (Capital) badala ya kununua scania bus ungenunua chasis halafu zikapelekwa kenya pale wanasuka nganya moja kali mno kwa low budget.
ukiangalia kampuni nyingi sina feli katika kutokuzingatia swala la muda, so hili scandinavia alikua anazingatia muda kama nini na hata kipindi cha uchache wa abiria alikua radhi aondoke hata na abiria kumi target ni kulinda jina.
 
Mmoja ni moja ya executive Mshana Jr
Watanzania kufanya nao kazi ni changamoto kubwa sana kwanini huwa hawako serious kwa wanachokifanya na sababu kuu ni moja " UWONGO NA MANENO MENGI NI SEHEMU YA MAISHA YAO"

Hiyo kampuni kama haina watu wa namna hii hakika hiyo ni top lakini kama wapo tegemea lolote....
 
Wazo takataka, hapo watakaokuchangia ela labda wawe wafanyakazi lakini sio wafanyabiashara.
Inaonesha hujui kitu chochote. Takataka tu hiyo
 
Muulize sa hv milestone aliyofikia.
Its better kama ungekuwa na teknolojia ya kukata na shoka kwa kujitofautisha.
Mf.
Basi za umeme
Basi za solar
Assembly line etc

Kwa hiyo biashara ! akajifunze kwa nini watu wanakaa miaka mitatu,mitano na wanapotea na waliingia na mitaji zaidi ya huo anaoutaja.
 
Back
Top Bottom