Wekundu Tunatia Huruma sana

Wekundu Tunatia Huruma sana

Yanga iliwahi kuchoka hadi ikasambaratika na kuzaliwa Pan AFRICA
Uko sahihi Mkuu, mchoko huo haukusababisha kukosa ubingwa zaidi ya miaka miwili kama ilivyo kwa Simba sasa hivi. Kumbuka pia hata Simba ilitokana na mchoko wa Yanga hadi waasi wakajitenga hadi leo, sasa hiyo dhambi ya kuchoka haijawaacha tangu kipindi hicho na itaendelea kuwaandama, nami namuomba Mwenyezi Mungu iwatafune hadi mbaki na mifupa tu, cha msingi Simba isife laikini iendelee kuwa chovu milele zote.
 
Back
Top Bottom