Welcome back Chimbuvu... mhanga uliyesalia

Mi ndio nipo kwenye msafara natoka selo ya V.I.P kempinsky na ndio narudishwa home na askari wa usalama pamoja na rais wa chitchat


Kwani hajafika? Nilimleta asubuhi hii mpaka hapo samaki samaki akaniambia atamalizia mwenyewe safari. Kama hajafika hilo sasa siwezi semea.
 
Asante Baba V , nafikiri tuangalie upya wageni wanaoingia

Hatutaweza kuwafungia milango wageni ila wanaoleta kero hakuna kuwavumilia, akianza tu kuchafua hali ya hewa tunamshukia kama kipanga kama ilivyofanyika jana, Donn shahidi, wajinga hawa wamefanya hata members wazuri wameanza kuiogopa CC kwa kuhofia ban. sasa wenyewe ndo wapate ujumbe kuwa wakileta ujinga huku inakula kwao mazima
 
Last edited by a moderator:
Kikulachoo, kumbe kinguoni mwako,rafiki yakoo kumbe adui yako,tulicheza naye tulikula naye kumbe Marry Hunbig alikuwa anaona gere na ndie aliyekuwa behind the scene



 
Last edited by a moderator:
Kinachonisikitisha hili suala tulilireport mapema kwa Mods lakini halikushughulikiwa



 
Last edited by a moderator:
Kinachonisikitisha hili suala tulilireport mapema kwa Mods lakini halikushughulikiwa thanx kwa Invisible kunifungulia



 
Last edited by a moderator:

Baba V Funguka. Ntajie hyo ID
 
Last edited by a moderator:
Kikulachoo, kumbe kinguoni mwako,rafiki yakoo kumbe adui yako,tulicheza naye tulikula naye kumbe Marry Hunbig alikuwa anaona gere na ndie aliyekuwa behind the scene

Teh teh teh.... Bibi harusi gaidi
 
Last edited by a moderator:
Mi ndio nipo kwenye msafara natoka selo ya V.I.P kempinsky na ndio narudishwa home na askari wa usalama pamoja na rais wa chitchat

Duh, mi nikajua ulipelekwa segerea! Aah... Basi rudi tu huko kempisky Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
Am back again,thank you bro kwa kuwa mary Hunbig na mzungumndali walipanga kunimaliza ila wamejimaliza wenyewe

mjombaaaaa mkweeeee poleee ume "wake up from server" karibu nyumbani
 
Last edited by a moderator:
jana alikua anazurura huku ndani mpaka sa 5 na dk kama 3 ivi nasikia amekuja na young bilionaire
Alafu bado kaanzisha uzi anasubiria name calling! Teh sijui ameona katajwa sana . . . . na moderator atakaetoa ban kwenye huo uzi basi naye atakuwa na interest!
 
Alafu bado kaanzisha uzi anasubiria name calling! Teh sijui ameona katajwa sana . . . . na moderator atakaetoa ban kwenye huo uzi basi naye atakuwa na interest!

ilo nalo neno...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…