Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Vifaa vyenye ncha kali lazima vitumike hapo
kuna ulinzi wa kutosha
ah ah! chezea ramadhani igondu na kikosi kazi chake? Lazima ukae chini
hivi unajua maana ya ulinzi?
Vifaa vyenye ncha kali lazima vitumike hapo
Umeonae?...... Huyu Nicas Mtei analeta utani eeh.....
Ahsante sana Nicas Mtei ......nshakaribia dia....kunyonyesha kazi ndio mana unaona napotea lol
ulinzi wa roho au mwili?
vyote kwa pamoja
Umeonae?...... Huyu Nicas Mtei analeta utani eeh.....
Ahsante sana Nicas Mtei ......nshakaribia dia....kunyonyesha kazi ndio mana unaona napotea lol
Hajipendi huyu Nicas Mtei naona anataka akasalimi mabwe pande
punguza hasira honey
mi wala wazo la kukutenda sina!
punguza hasira honey
mi wala wazo la kukutenda sina!
punguza hasira honey
mi wala wazo la kukutenda sina!
acha nae huyo akamkasilikie madame b