ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
sijambo wewe je? siku najibatiza kurudi kwenye uverifayadi memba hukuwepo...... nafurahi kukuona tena...
hivi unajua kubatiza wewe au unabwabwaja tu hapa mmu cc ndugu
Mbaya!
sweetlady, sorry mke wangu ni Evelyn Salt!!!
Jamani......kwanini tena shemeji langu?
Nimechacha
naona hapo kuna roho ya kulazimishana ndoa
Je The secretary anajua hili?
Hahahaha yan mpaka nimeshangaa manake bidada ladyfurahia anavyojishauaga na huyo Mentor lol
Analijua ndio mana kipindi kile alitangaza kumuacha....... Maskini Bishanga sijui atahonga nini tena...... Kweli nimeamini mpanda ngazi hushuka
dah! kwa kweli nimeshangaa ujue..... Hebu jiweke hapo kwenye nafasi ya ladyfurahia
Nimechacha