Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Mungi umemnunulia tena ina maana mume wake na baba mtoto wake Nicas Mtei ni choka mbaya hata kununua Samsung au Nokia hizo hawezi
Si aseme tuu aise watu tujitolee kumnunulia sweetlady
Sasa mrembo kama yule aise anatembelea nokia torch balaa hili
 
Last edited by a moderator:

Hiyo simu ni ya hausigeli, imenunuliwa kwa pounds za uingereza, ile ya kwako inaingia mara 20 kwa bei
 
Mungi umemnunulia tena ina maana mume wake na baba mtoto wake Nicas Mtei ni choka mbaya hata kununua Samsung au Nokia hizo hawezi
Si aseme tuu aise watu tujitolee kumnunulia sweetlady
Sasa mrembo kama yule aise anatembelea nokia torch balaa hili

weeeeeeeeeeeeeeeee ee chunga mdomo wako. unatangaza shida ili upate simu? kwa taarifa yako ni kwamba sasa hivi sweetlady anatumia simu hii unaifahamu?
 
Last edited by a moderator:
hehehehe........ Wakaletewa masinia ya wali yakawashinda........ Btw mzima wewe....... Bby anakumiss sana.....ukitoka job jioni uwahi kurudi home eeh

Mie bukheri wa afya..Sawa mpenzi. Ntawah. Ntaptia dukani kumnunulia zawadi
 
Ndo mwenyewe huyo mjuaye si amefundishwa na Mtambuzi jamani pale LEO TENA PUB kwani wewe hujawahi kwenda pale, mm nashangaa sana wanavyoranda mume wangu sijui kwanini jamani naomba mwambie aache kwani ni hatari kwa afya yake
Mentor ameanza lini kunywa pombe? Au mumeo sio Mentor huyu nimjuaye?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…