Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

haya makubwa jamani heee kweli nikoplight kabisa wala hakuna chembe ya nitonye hapo ila mbona anafanana na wahindi usikute ni wa manoah huyo maana kwako ajaingia hasilani sijui lakini mm nina wasiwasi kabisa hapo naona UMEDANGANYWA WEWE
 
Last edited by a moderator:

bora umwambie manake isijekuwa na yeye anajishaua kumbe kauziwa mbuzi guniani
 
Last edited by a moderator:
haya makubwa jamani heee kweli nikoplight kabisa wala hakuna chembe ya nitonye hapo ila mbona anafanana na wahindi usikute ni wa manoah huyo maana kwako ajaingia hasilani sijui lakini mm nina wasiwasi kabisa hapo naona UMEDANGANYWA WEWE

Macho yako yana matege?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo umeridhika na hali hiyo??? Usije niona nakuchonganisha na Nicas Mtei lakini kitendo chake cha kutojua amchukue sweetlady au laaaah namuona kama fisimaji vile!!

Mi mwenyewe simtaki hivyo ni vema ajipange aje amchukue mtoto........na akichelewa nambambikiza Mungi.......

Hujambo lakini?...... Ukinionea PakaJimmy mwambie namsalimu
 
Last edited by a moderator:
ah ah ah ah! ladyfurahia mie, simo bana mie atakae nizalia ni mimisa tu
haya makubwa jamani heee kweli nikoplight kabisa wala hakuna chembe ya nitonye hapo ila mbona anafanana na wahindi usikute ni wa manoah huyo maana kwako ajaingia hasilani sijui lakini mm nina wasiwasi kabisa hapo naona UMEDANGANYWA WEWE
 
Last edited by a moderator:
Confirm !
Kwa sisi tukujuao Nicas Mtei, hapakua na haja hata ya kwenda poteza visenti vyako kulipia vipimo!
Hilo nembo lako hass'aaa!
 
ndugu yako nitonye ndo alilipia kila kitu ili tufanye vipimo.... ameishia kuumbuka yeye
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…