Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

huna habari kuwa tumefunga ndoa na tena yuko hapa karibu yangu anacheka hii comment uliyotoa hapa hujui muda si mrefu nitampatia mwana? wewe karagabao ndo hivyo tena tunaojua kulea tumeshaingia dimbani kazi kwako bibie unadanganywa na yuyo nicas mtei

mh....... Haya msalimie sana
 
nimepima CCBRT niko fiti hakuna utege wowote wewe usidanganyike hata vipimo vya DNA navyo siku hizi ivinadanganya hakuna chochote huyo mwanamke amekudanganya wewe hiyo mimba ni ya manoah huyo muhindi pyua
Macho yako yana matege?
 
Last edited by a moderator:
Afu Nicas Mtei inaonekana huyu bibie @SL mayai yake yapo fetilaiz fastafasta !
Si ni umdunge nyengine?
 
Last edited by a moderator:
Nicas Mtei hajui kama DNA nayo inaweza kuwa hacked! usiliache hilo dili akili kumkichwa! tena mwambie stock ijae kwa wingi. supu kwa sana, mbuzi mzima kila baada ya siku mbili, usijali manke ukishindwa tunafungua bucha letu

hacked wapi wakati hata sura ya mtoto inaonesha wazi kabisa kuwa ni copy yangu?
 
ngoja nimwachie naye zamu yake akusalimie kidogo hapa Mentor hebu njoo basi toka huko chumbani uje umsalimie sister anataka kukuona wewe eti anasema mie namdanganya hapa njoo basi honey, vibaya vivyo unapanga nini tena hapo kwenye kabati la nguo ziache mm nitakuja panga vizuri, njoo uwasilimie maarafiki zako hapa mmu wanakuita
mh....... Haya msalimie sana
 
Last edited by a moderator:
mtoto ana mishavu kama ya nitonye wewe unasema ni wako labda wa kusingiziwa uenda lakini toto nene ulifananishe wewe kimbaumbau mwiko wa pilau labda huyu ndo wako wewe na ukikua utakuwa hivi kabisa na sio yule si wako ni wa nitonye muache mwenyewe amlee au unataka mtoto nenda Bugando Hospital hebu Mentor nisaidie hapa akafanye kule hospital vile..............!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…