ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
mwenye mke ndo nani? akija atamchukua sweetlady, mtoto atabaki
Hata uwe mtaalamu wa kuosha vyombo kiasi gani huwezi kuosha vyombo vya habari
Afu Nicas Mtei inaonekana huyu bibie @SL mayai yake yapo fetilaiz fastafasta !
Si ni umdunge nyengine?
Kwa hiyo asikutishe... hata kiduchu...
We nani kasema???? Mwanangu simwachi kamwe....... Kwani mie hunipendi Nicas Mtei?
mtoto ana mishavu kama ya nitonye wewe unasema ni wako labda wa kusingiziwa uenda lakini toto nene ulifananishe wewe kimbaumbau mwiko wa pilau labda huyu ndo wako wewe View attachment 87370 na ukikua utakuwa hivi kabisa View attachment 87371na sio yule si wako ni wa nitonye muache mwenyewe amlee au unataka mtoto nenda Bugando Hospital hebu Mentor nisaidie hapa akafanye kule hospital vile..............!
We hujajua kumbe....... hata hujui majungu ni yapi hahaaaaaa............
ahhh kumbe mlichangia mmoja kaweka mbegu wewe ukadecorate ndio maana mnafanana sababu ya wewe kuwa wa mwisho kufanya finishing, hongera mkuu waitwa baba nani thatha..............?
Hata uwe mtaalamu wa kuosha vyombo kiasi gani huwezi kuosha vyombo vya habari wala (wanawake)
We Nicas Mtei kiboko!
Sawa bana
We Nicas Mtei kiboko!
Sawa bana
We Nicas Mtei kiboko!
Sawa bana
Mimi nasikia kwenu ila sijaambiwa lasimi na sina barua au nyinikama wanachama wa simba mmemuengua Rage kihuni?? Nivea hajasema mnamsingizia huyo ndo pambo langu sitegemei kunifanyia hivi ila amu anaweza wiki jana siuliona alichomfanyia mtu humu mpaka mchozi unammwagika mtu mzima!!
Hapo kwenye red panahusika zaidi au uliyemzalisha??Mwongozo tafadhali nitaomba walimu wa kiswahili waje hapaNapenda kuchukua nafasi hii kumkaribisha bibie sweetlady jukwaani.... tumetoka hospitali kufanya vipimo vya DNA(Vinasaba) na nimegundua kuwa mtoto aliyejifungua juzi sio wa nitonye ila bwana nitonye ndo alikuwa analazimishia.. nililizimika kufanya vipimo baada ya mtoto huyo kufanana nami kwa kila kitu.... Kuanzia sas ifahamike kuwa nina mtoto mmoja ambaye nimezaa na sweetlady.. ,.......... Ahsante sana nitonye kwa kunisaidia kulea mimba niliyompa sweetlady.
Kwa hiyo umeridhika na hali hiyo??? Usije niona nakuchonganisha na Nicas Mtei lakini kitendo chake cha kutojua amchukue sweetlady au laaaah namuona kama fisimaji vile!!