Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA


Waitu mnamwagwa daily..
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red panahusika zaidi au uliyemzalisha??Mwongozo tafadhali nitaomba walimu wa kiswahili waje hapa
CC Madame B, gfsonwin, snowhite.....Mwongozo mheshimiwa Paw

.......Abee, Kiukweli hajaongea Kiswahili fasaha.
Hapo angetakiwa aseme "nina mtoto mmoja ambae sweetlady amejifungua, ila ni wa kwangu, kwa maana mie nilihusika katika kumpa ujauzito"
Au angesema "nina mtoto mmoja ambae sweetlady amenizalia"
 
Last edited by a moderator:
kumbe we mrombooooo ndo mana ni mshamba wewe unakwenda beach huku umevaa suti aiiii yani warombo ni washamba sana jamani heee!

Heeeee..... ladyfurahia kumbe hujui waromboo ndo wenye hela.................. sisi tunahifadhi hela zetu kwenye suti badala ya benki!
 
Last edited by a moderator:
kitoto kizuri........lakini mbona kinya nywele za "kiarabu" Nicas Mtei embu kuja eleza hapaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
.......Abee, Kiukweli hajaongea Kiswahili fasaha.
Hapo angetakiwa aseme "nina mtoto mmoja ambae sweetlady amejifungua, ila ni wa kwangu, kwa maana mie nilihusika katika kumpa ujauzito"
Au angesema "nina mtoto mmoja ambae sweetlady amenizalia"

Nipo sahihi. sweetlady ni mzazi mwenzangu.
 
Last edited by a moderator:
Usipomwaga uwezi kujua raha ya mapenzi milele!! madame bkwanza mimi ni mtu wakumwagwa??haitatatokea!!kwani mimi nasomaga alama za nyakati!!kunguru apigwi kwa jiwe kwani ana timing kali!nadhani na wewe unatmbua hilo!!

hiiivviiiii.................una uhakika na unachokiandika hapa!!!???
 
Usipomwaga uwezi kujua raha ya mapenzi milele!! madame bkwanza mimi ni mtu wakumwagwa??haitatatokea!!kwani mimi nasomaga alama za nyakati!!kunguru apigwi kwa jiwe kwani ana timing kali!nadhani na wewe unatmbua hilo!!

Natambua. Ila naona majigambo kuwa umemiminwa.
 
kitoto kizuri........lakini mbona kinya nywele za "kiarabu" Nicas Mtei embu kuja eleza hapaaaaaa

angalia vizuri ushirikiano wa macho yako. Nywele za mtoto ni kama zangu kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…