Welcome back Sweetlady... Ahsante sana DNA

Nipo sahihi. sweetlady ni mzazi mwenzangu.

Acha ubishi wewe Nicas Mtei.............. "Niliyezaa nae".....Ina maana kwamba yeye afanyaye mwingine jambo lile lile kwa kufanana muda na wakati.
Hapa jibu sahihi ni ..... @Sweetlady amejifungua mtoto ambae nilihusika na kushiriki katika kumpa Ujauzito.
kwa maana mnaweza mkawa wengi mmehusika, esp nitonye, lakini mwisho wa siku akatoka amefanana nawe kwa maana ulishiriki.

Mfano
1. Yule dada niliyezaa nae pale hospitali, amefariki, hapa ana maana kwamba, Yule dada ambae walikuwa wamejifungua kwa muda mmoja mtoto (labda anaweza akawa ni wa kitanda cha jirani) amefariki.
Sema tu sisi watanzania tunapenda sana kurahisisha neno mpaka likaonekana liko sahihi.

Kama kweli unakijua Kiswahili vizuri...........nipe tofauti kati ya
1. Nimezaa nae na ......maana 1 (a)
2. Tumezaa wote.....(hii hapa nipe maana 2, (a) na (b))

Ukinijibu hapa wewe kichwa.
 
hongera kwa DNA..uwe unapima na vipimo vingne vyote ss
 
haya makubwa jamani heee kweli nikoplight kabisa wala hakuna chembe ya nitonye hapo ila mbona anafanana na wahindi usikute ni wa manoah huyo maana kwako ajaingia hasilani sijui lakini mm nina wasiwasi kabisa hapo naona UMEDANGANYWA WEWE

Inawezekana humjui sweetlady wewe, huyo mtoto angalieni kila kiungo mtakuta kinafanana na baba ake mwingine, huyo mtoto ana baba tisa, mark my words...!
 
Last edited by a moderator:
Ila we ndo kiongozi. Ndo maana ban znakupata daily

Hahahaaaaaaa.................... ban kwa afya wewe wacha umbea!............... ulisema sweetlady siyo mjamzito........ ulidhani amekula maharage............:mimba:
 
Last edited by a moderator:

Hapo kwenye red ina maana kuwa sote tumeshiriki uzazi..... Angalia sentensi hii kwa mfano
yule ni mzazi mwenzangu. nimezaa naye watoto watatu

hapo kwenye blue ina maana wewe na yeye mmezaa ila si pamoja... yaani wewe umezaa na yeye amezaa. mfano wake zake wamezaa wote....

umenielewa Madame B
?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…