Welcome freshers Mwenge University At Aventures Club Moshi 25/10/2013

Najiandaa kuja kuchukua demu mmoja mkali wa MWENGE muanze kuniita shemeji
 
Heshima kwenu wana JF,

Ni siku nyingine tena tumekutana hapa jukwaani wanabodi wenzangu.
Leo tarehe 25/10/2013 tunapenda kuwakaribisha wanachuo wenzetu wa MWUCE katika hafla ya kuwakaribisha freshers wote wa 2013/2014 pale Aventure Clubs Moshi kuanzia saa moja kamili jioni.

:welcome::welcome::welcome:

Nyote mnakaribishwa.

With regards.

Njooni mnipitie hapa RAU
 
asante mkuu tunakuja si unajua si ndio wa usika wenyewe.
 
Nipo ndani ya ukumbi wa aventure ,naona wasanii wao wanaperfom kwenye stage hahahaa jamaa wanajitahidi sana
 
mwuce mnazingua bana,mnawapeleka freshers kwenye ukumbi wa sendoff badala muwapeleje clab,?alafu badala waziri wa elimu awaze kuhusu mikopo ya wanafunzi anawaza sendoff,makailo kabisa,mdogo wangua anapata shida hapo na hana mkopo,
 
Waziri yupi kawambwa au mulugo?
 
Back
Top Bottom