Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
umejipanga kimavaz kwanza au unafkir utawapata watoto ukiwa kama mkulima
nipe Dress code.. maana nasikia mnavaa kama watoto wa Pope.. yaani Bwanga.. oversize ful Kikatekista na kipadree..
Hahahaha nitapiga pamba balaa
Heshima kwenu wana JF,
Ni siku nyingine tena tumekutana hapa jukwaani wanabodi wenzangu.
Leo tarehe 25/10/2013 tunapenda kuwakaribisha wanachuo wenzetu wa MWUCE katika hafla ya kuwakaribisha freshers wote wa 2013/2014 pale Aventure Clubs Moshi kuanzia saa moja kamili jioni.
:welcome::welcome::welcome:
Nyote mnakaribishwa.
With regards.
Nitakuja kuwapa support kwa niaba ya MUCCoBS
Najiandaa kuja kuchukua demu mmoja mkali wa MWENGE muanze kuniita shemeji
Heshima kwenu wana JF,
Ni siku nyingine tena tumekutana hapa jukwaani wanabodi wenzangu.
Leo tarehe 25/10/2013 tunapenda kuwakaribisha wanachuo wenzetu wa MWUCE katika hafla ya kuwakaribisha freshers wote wa 2013/2014 pale Aventure Clubs Moshi kuanzia saa moja kamili jioni.
:welcome::welcome::welcome:
Nyote mnakaribishwa.
With regards.
asante mkuu tunakuja si unajua si ndio wa usika wenyewe.
njoo tukupatie mdogo wake Riz.
asante mkuu tunakuja si unajua si ndio wa usika wenyewe.
Uje na papuchii za Muccobs,tubadilishane kuna first wa kutosha tu.ila ukibambia papuchii za watu utaumia.
Mbona watu wachache sasa hapa aventure
mwuce mnazingua bana,mnawapeleka freshers kwenye ukumbi wa sendoff badala muwapeleje clab,?alafu badala waziri wa elimu awaze kuhusu mikopo ya wanafunzi anawaza sendoff,makailo kabisa,mdogo wangua anapata shida hapo na hana mkopo,
Kuna watu washambaaa hahaha
Mshamba ni wewe mzee wa kuzamia sherehe za watu.Kama vipi uje hapa mitaa ya kcmc kuna harusi,na leo pale pa jana usiku kuna sendoff.