Welcome to Mbeya University of Science and Technology

Kama unajua kuwa huwezi kuwa perfect kwenye lugha ya watu usitafute kisingizio; waache wenzio ambao wanaweza kuwa perfect hata kwenye lugha za watu na wewe ujikite kwenye lugha ya kwenu ambayo unaamini utakuwa perfect!!!
 
Vp kwa wanaojifunza? Hawana haki ya kueka uzi kwa sababu hawajui vizuri?
 
Sasa si useme amekosea wapi siyo kuleta mbwembwe Hapa
 
hapo kwenye red "VIDATU" ndo nini? inasikitisha na wewe hapo hujui lugha yako ya taifa
 
At university level you must have that perfection! A university graduate should be able to communicate with any other person who knows English. These are the people we depend to understand what is written in contracts which companies enter into with other entities.

This is very pathetic for a country which boasts that our children start learning English from Standard 3 and English is used as the medium of communication for all non-language subjects in all secondary schools. After all, if these students cannot master something which they have learned for so many years how sure can we be that they master the other courses such as Physics, Chemistry, etc. which are offered in English?
 
With this explanation you convince me and i admit you are right..
 
Reactions: KVM
I would bet you are mistaken!!

Kwani kujua kiingereza kwa ufasaha ndio kipimo cha ubora wa elimu?, au kiingereza ndio elimu?
Hicho chuo ni cha Engineering, hakuna masomo ya lugha pale, unategemea wajue kiingereza kwa ufasaha?
 
hata mimi nipo irrigation engineering mwaka Wa tatu now but English Niko shallow balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…