Lazma tukubali kwamba english is not our mother tongue, haya mambo yakutafuta perfection kwenye lugha ya watu sioni tija yake lengo kubwa la lugha ni kuelewana sa wewe unakuta ushaelewa ujumbe afu unaanza kutafuta perfection haina maana, we mwenyewe nkikuambia u paraphrase hii thread bado unaweza ukakosea mbele ya wanaujua zaidi,
Kama unajua kuwa huwezi kuwa perfect kwenye lugha ya watu usitafute kisingizio; waache wenzio ambao wanaweza kuwa perfect hata kwenye lugha za watu na wewe ujikite kwenye lugha ya kwenu ambayo unaamini utakuwa perfect!!!