Welcome to the Grumeti Reserves...!

Welcome to the Grumeti Reserves...!

Jasusi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2006
Posts
11,559
Reaction score
5,472
lodge-header-singita-faru-faru-lodge.jpg

FaruFaru6.jpg

FaruFaru2.jpg

FaruFaru4.jpg

FaruFaru3.jpg

Sabora5.jpg

Singita Game Reserves > Singita Faru Faru Lodge

Check the ROOM RATES!
 
Attachments

  • Sasakwa9.jpg
    Sasakwa9.jpg
    38.1 KB · Views: 110
  • Sasakwa4.jpg
    Sasakwa4.jpg
    44.3 KB · Views: 89
  • Sasakwa5.jpg
    Sasakwa5.jpg
    48 KB · Views: 92
  • Sasakwa2.jpg
    Sasakwa2.jpg
    64.1 KB · Views: 96
  • Sasakwa3.jpg
    Sasakwa3.jpg
    35.6 KB · Views: 93
  • Sasakwa8.jpg
    Sasakwa8.jpg
    50.3 KB · Views: 84
  • Sasakwa7.jpg
    Sasakwa7.jpg
    73 KB · Views: 84
  • Sabora7.jpg
    Sabora7.jpg
    70.9 KB · Views: 90
  • Sabora4.jpg
    Sabora4.jpg
    41.7 KB · Views: 87
  • Sabora3.jpg
    Sabora3.jpg
    50 KB · Views: 75
  • Sabora1.jpg
    Sabora1.jpg
    78.1 KB · Views: 99
  • lodge-header-singita-faru-faru-lodge.jpg
    lodge-header-singita-faru-faru-lodge.jpg
    37.8 KB · Views: 87
  • FaruFaru5.jpg
    FaruFaru5.jpg
    61.9 KB · Views: 93
  • FaruFaru4.jpg
    FaruFaru4.jpg
    35.9 KB · Views: 85
  • FaruFaru1.jpg
    FaruFaru1.jpg
    50.2 KB · Views: 77
  • FaruFaru2.jpg
    FaruFaru2.jpg
    54.6 KB · Views: 76
  • FaruFaru6.jpg
    FaruFaru6.jpg
    44.7 KB · Views: 80
hau machi ini madafu pa naiti?......givu mi ze toto pakeji inklusivu transipoti
 
Luxury Suites - Double:
US$1 045
per person per night sharing

Single rate: Only applies if 3 singles or more are booked. Tariff is sharing rate plus 25% per person.

Luxury Villa Suite - Double:
US$4 500
per night for the suite
 
luv.....in shillings please...I am Tanzanian I don't have dollars.....also include transport from Yaeda and back
 
Hao ndio waliompeleka mahakamani mtoto wa darasa la 7 kwa sababu ya ng'ombe kuingia kwenye plot? Na akafungwa!
 
Bibi Kisura,
Acha uvivu. dola moja ni shilingi elfu moja mia tano. Chukua kalkuleta hapo mezani upige hesabu.
 
ngoja nikwambie.....kwa nini mimi mtanzania nilipe sawa na mzungu wakati hii kitu ipo nchini kwangu.....ni tabia mbaya kwa serikali kuwaachia hawa wawekezaji kutunyanyasa ndani ya nchi yetu...ingetakiwa moja ya sharti la uwekezaji liwe kuwa na bei ya mzalendo ( naruhusu kusahihishwa)..nimewahi kufika hapo but hata huduma ya mswahili na mzungu ni tofauti kabisa pamoja na yule shoga yake Bilila...huyu yeye rate zake ni kwa euros....ni aibu sana kwa taifa lenye vivutio kama hivi lakini wananchi wake hatuvifaidi
 
Hao ndio waliompeleka mahakamani mtoto wa darasa la 7 kwa sababu ya ng'ombe kuingia kwenye plot? Na akafungwa!
Samahani wakuu Me mgeni hapa, hii iko pande zipi za TZ????
 
ngoja nikwambie.....kwa nini mimi mtanzania nilipe sawa na mzungu wakati hii kitu ipo nchini kwangu.....ni tabia mbaya kwa serikali kuwaachia hawa wawekezaji kutunyanyasa ndani ya nchi yetu...ingetakiwa moja ya sharti la uwekezaji liwe kuwa na bei ya mzalendo ( naruhusu kusahihishwa)..nimewahi kufika hapo but hata huduma ya mswahili na mzungu ni tofauti kabisa pamoja na yule shoga yake Bilila...huyu yeye rate zake ni kwa euros....ni aibu sana kwa taifa lenye vivutio kama hivi lakini wananchi wake hatuvifaidi
Now you are talking. Kwa nini hukusema hivyo mapema? Hii lodge si kwa ajili yako na mimi. Ni kwa ajili ya akina Cindy Crawford, Jennifer Lopez, Angelina Jolie, na wale walio nazo kutoka Hollywood. Wewe ukienda pale wanaweza kukufanzia kama walivyomfanzia yule kijana wetu mchunga ng'ombe. Mtanzania pekee anayevinjari huko mara kwa mara ni JK
 
haya bana sisi tutaishia huko kwa kina Elizas...maana pale kuna kufanya game na farasi....do you know how to ride a horse?
 
Preta, just go and work so u can be able to be served like foreigners in your own country. You should not aspire for huruma to expensive things. Do you really know what caucasians claim for when it comes to paying for our local sevices?!: "Locals are supposed to pay for more (pay relatively high) to raise their own economy".
 
Luxury Suites - Double:
US$1 045
per person per night sharing

Single rate: Only applies if 3 singles or more are booked. Tariff is sharing rate plus 25% per person.

Luxury Villa Suite - Double:
US$4 500
per night for the suite

What???

Mshahara wa mwaka mzima unaisha siku moja?????
 
Now you are talking. Kwa nini hukusema hivyo mapema? Hii lodge si kwa ajili yako na mimi. Ni kwa ajili ya akina Cindy Crawford, Jennifer Lopez, Angelina Jolie, na wale walio nazo kutoka Hollywood. Wewe ukienda pale wanaweza kukufanzia kama walivyomfanzia yule kijana wetu mchunga ng'ombe. Mtanzania pekee anayevinjari huko mara kwa mara ni JK

Sasa umeweka Tangazo hapa, hao unaowateja wanaingia humu? Hao majambazi tu, hebu weka na kodi wanazoilipa serikali yetu, na faida wanazopata wananchi wa jirani! Ni wezi, na rais wenu anawaintatein!!!
 
hakuna prices za off peak huko?

utalii wa ndani utashamiri ikiwa kutakuwa na bei maalum kwa ajili ya wakati wa off peak manake competition na mzungu hatujaiweza bado.
 
Back
Top Bottom