Welcome to the World

Welcome to the World

Codehood

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2021
Posts
345
Reaction score
785
Binadamu anapambana ili kupata mahitaji yake muhimu. "Kupambana" Hapa atafanya whatever it takes ili ajihakikishie uhakika wa maisha na mahitaji yake.

Ikitokea ameahidiwa kupata uhakika wa mahitaji yake basi he/she'll do anything bila kuangalia athari atakazo leta kwa watu wengine(selfishness).

Ukija kuangalia Dunia nzima utaona haya maisha ni meaningless.

Vita kila kukicha, watu wanauawa, sheria zinapindishwa kwa makusudi, Wale wanao tangaza Democracy ndio hao wanao vunja hiyo democracy na human rights.

Hii yote ni kutokana na ubinafsi ambao binadamu anao naturally.

Life is not fair! Ulie mpaka utoke damu, na usije kujidanganya kama Mungu atawaadhibu hawa watu kwasababu Dunia ndio ipo hivyo.

Ukiwa mnyonge utaonewa tu na hakuna kitu ambacho Mungu unae muanini atafanya coz He created this world in that way.

Maana yangu usije tegemea binadamu mwenzio akakutetea na kukupigania kwa jambo lolote lile na kama ikitokea basi ni kwa maslahi yake yeye mwenyewe ila wewe utakuwa ni mgongo tu wa yeye kupitia.

Nobody cares, welcome to the world.
 
Back
Top Bottom