Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?


Mimi napenda CCM

Mimi napenda Rais atoke Zanzibar

Zidumu Fikra za Mwenyekiti

CCM OYEEEEEEEE
 
No 3 Ndio sababu ya hili andiko.

Ndio Kete pekee?

baada ya hilo msije kujuta maana mtu akila nyamaa achii kamwe.

Gm ( Makaburuni Chatle)
 
Nenda ngome kaulize
 
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?
Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200
Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%
 
Kwani Iran ni Africa?
 
Siku hizi wanasema vita inapiganwa kwa akili sio misuli😀
 
Jeshi ni IRGC tu lipo kulinda rasilimali za IRAN,hii JWTZ kazi wanayoiweza ni kulinda rasilimali za CCM tu
 
hapo ni hatari,maana mtu aliyenunua nafasi hawezi kuwa na uchungu na nchi
 
Kama watu wanaingia kwa kuhonga, wanaachaje kutumika na wanasiasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…