Kaselele
Senior Member
- May 19, 2022
- 171
- 476
Ninavojuwa kabla ya kundi la Wegner kuanzisha uasi walikuwa ndio wahusika wakuu wa vita katika jimbo la Bakhmut na ndio ambao walikuwa wanalishikilia jimbo hilo.
Sasa najiuliza: je, waliamua kuondoka kwenye jimbo hilo na kuliacha kwa wenyewe Ukraine? Au ni mchezo wa kuigiza tu ambao ulikuwa na lengo la kuwaleta askari zaidi katika jimbo la Rostov ili waweze kuivamia Ukraine kutokea huko?
Wataalamu wa vita hivi naomba mnieleweshe zaidi.