Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari Wanazengo.
Kwenye Paragraphs kuna mstari unaitwa "bottom line" huo mstari katika paragraph yeyote ndio ubeba lengo la paragraph nzima.
Sasa Mwamba wa Lusaka Clatous Chota Chama kwenye Paragraphs ya mwisho kabisa bottom line ameandika maneno haya "We'll continue seeing each other" kwa Wanamsimbazi wanaosema jamaa ndio mwisho wa era, sas maneno ambayo ukiyasoma kwa utaalamu na maarifa unaelewa nini amekusudia nini kufanya.
Wanamsimbazi Wamatopeni Koloulizdad jiandaeni ki-psychologia kwenye hilo hayo maneno yanaujumbe mzito sana kwenu.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu