D 007
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 206
- 147
Yes,ikilast sana ni wiki moja after this kuna headline mpya.Timing ya kurelease ilikuwa nzuri mana wamjengoni wako busy majimboni!
Hivi inakuaje zile shule tulizozoea kufanya vizuri kila wakati (pepa iwe ngumu au rahisi,pepa ifutwe,pepa ibadilishwe,i-leak au isi-leak,syllabus ibadilishwe au ratiba ibadilishwe nk nk) nazo hazikufanya vizuri this time?
Kuna haja ya kusikia toka upande wa waliotahiniwa pia!