mbona hiyo sio siri binamu inajulikana tu
Anatia huruma masikini!
na kama ni hivyo kweli daaah.....hata mke kuchakachua hawezi maana siku hizi wanawake wakichelewa kupata mimba anaanzakujaribu nje....ndio maana wababa wengi wanalea watoto sio wao
Anatia huruma masikini!
Mhhh una uhakika gani kama hana kizazi jamani?kwani mkewe ana mtoto wa nje ya ndoa?
Huwa nikisomaga threads za udaku nabaki kushangaa,kunasa mimba ni habari,Na ndo magazeti yanauzwa mitaani na yanaisha
Hutu ni tuniniiiiii
Haha haaaa,uwiiiiii wewe Kigogo hufai aisee
Kigogo katishaaa balaaa team vibamia jb nae yupo,nimecheka mpka nimepaliwa
Hujacheka kunizidi mimi aisee....
Mabomu y kigogo huwa mazito halafu mafupi
Ndio kawaida yake hua nacheka kimyakimya.
Kigogo katishaaa balaaa team vibamia jb nae yupo,nimecheka mpka nimepaliwa
Bongo bwana ukiwa kifaa kama Chibu wanasema, ukiwa mkimya kama JB wanasema wewe mboga za majani, mbona Shamsa Kanogewa?