Wellu Sengo anasa Mimba tena

Wellu Sengo anasa Mimba tena

Anatia huruma masikini!

na kama ni hivyo kweli daaah.....hata mke kuchakachua hawezi maana siku hizi wanawake wakichelewa kupata mimba anaanzakujaribu nje....ndio maana wababa wengi wanalea watoto sio wao
 
Itabidi naye avumilie tu,akubali maisha bila ya mtoto....no way
 
Mhhh una uhakika gani kama hana kizazi jamani?kwani mkewe ana mtoto wa nje ya ndoa?

Huwa nikisomaga threads za udaku nabaki kushangaa,kunasa mimba ni habari,Na ndo magazeti yanauzwa mitaani na yanaisha
 
  • Thanks
Reactions: naa
Huwa nikisomaga threads za udaku nabaki kushangaa,kunasa mimba ni habari,Na ndo magazeti yanauzwa mitaani na yanaisha

Ndo hivyo tena,mimba sio mchicha useme utaota/kuoteshwa yoyote na ukaota.
 
Back
Top Bottom