Wellu Sengo: Wanawake wanaopenda wanaume kisa hela wanakosea

Wellu Sengo: Wanawake wanaopenda wanaume kisa hela wanakosea

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Malkia wa kiwanda Cha bongo movie kwa jina lingine anaitwa "maltida" ambaye pia yupo kwenye tamthiliya ya "Rebecca" inayooneshwa na DSTV amefunguka wakati anafanyiwa mahojiano na millardayo nakusema wanawake wenzake wanaopenda wanaume kwa kuangalia kigezo Cha pesa hawana tofauti na Malaya cos Kama huyo mwanaume akaishiwa pesa je utakuwa na uwezo wa kumvumilia au kuishi nae?

Nini maoni yako kwenye hili aliyosema Wellu sengo
 
Huyu alivyoliwa na kuzalishwa na 'tivu' mi ndio nikaishia hapo hata kumfwatilia, mtoto mkali sanaaa huyuu walah ila ,tivu kweliiii tivuuu!
 
Mleta mada huu uzi ulitakiwa utusindikizie hata na kapicha kamoja ka matilda aiseee 😋😋
 
bongesss.jpg
 
Kama ametoa hayo maoni na anachura basi tunaweza kuamini na kama hana chura basi itakua kawakosa wenye pesa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom