Malkia wa kiwanda Cha bongo movie kwa jina lingine anaitwa "maltida" ambaye pia yupo kwenye tamthiliya ya "Rebecca" inayooneshwa na DSTV amefunguka wakati anafanyiwa mahojiano na millardayo nakusema wanawake wenzake wanaopenda wanaume kwa kuangalia kigezo Cha pesa hawana tofauti na Malaya cos Kama huyo mwanaume akaishiwa pesa je utakuwa na uwezo wa kumvumilia au kuishi nae?
Nini maoni yako kwenye hili aliyosema Wellu sengo
Nini maoni yako kwenye hili aliyosema Wellu sengo