Wema aachiwa, akamatwa tena, azua kizaa zaa mahakamani

Wema aachiwa, akamatwa tena, azua kizaa zaa mahakamani

I didn't expect wakili Msomi Albert Msando kutumia hicho kifungu 225(5) wakati anajua madhara yake ni yapi.

Anyhow, let us wait & see.
kina madhara gani

Hebu shusha nondo kidogo
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Huu ni wakati wake wa kujifunza, mamake hakumfunza sasa dunia imechukua nafasi kumfunza kama wasemavyo wahenga "asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"
Pole Wema, mtoto mrembo ambaye hajafaidi urembo wake zaidi ya kula bakora
'Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu' vile vile asiyesikia la mkuu huvunjika guu.
 
Kakataa kurudia kufanya nae mchezo mbaya. Mtoto pendwa alipopewa mara ya kwanza alishindwa kutendea haki hivyo akanyimwa mechi ya marudio
Unamaanisha michezo ya amber rutty? [emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni wakati wake wa kujifunza, mamake hakumfunza sasa dunia imechukua nafasi kumfunza kama wasemavyo wahenga "asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"
Pole Wema, mtoto mrembo ambaye hajafaidi urembo wake zaidi ya kula bakora

Wazazi wake wangemfunza asingefunzwa na ulimwengu.

Huyu specifically, alinyimwa viboko na kupata malezi ya upande mmoja
 
Unamaanisha michezo ya amber rutty? [emoji114][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23]
inawezekana ila swali linakuja nani wa kumfanyia mwenzie maana wote wanajaza na kujazwa.
 
tatizo wema hakula ujana wake kiungwana kutokana na malezi mabovu ya mama yake...huu ndo mda wa kufunzwa na ulimwengu.
 
Back
Top Bottom