Labda kamnyima takoKwani kamfanyaje yule mwana mtwa mkulu?
Wa kumpa tigo au?Kakataa kurudia kufanya nae mchezo mbaya. Mtoto pendwa alipopewa mara ya kwanza alishindwa kutendea haki hivyo akanyimwa mechi ya marudio
Unataka ukasagane naeIla huyu mtoto mzuri jamani ngoja nitafute hela
Kaka, Criminal procedure Act[cap 20 R.E.2002] iko Wazi Kwamba mtuhumiwa anaweza kuachiwa katika hatua yoyote ya kesi ispokuwa HUKUMU. Mtuhumiwa anaweza kuachiwa pale tu ambapo Mahakama haijaona kesi ya msingi kwa maana ya Rule Of Case To Answer-Premafacie Case au pale ambapo muendesha mashtaka wa jamhuri(DPP) ameiamuru mahakama isiendelee kusikiliza kesi hiyo ispokuwa kesi iwe imefikia wakati wa hukumu.Hii sheria inayoruhusu kufuta kesi au kuliondoa shitaka mahakamani na kukamata tena ni mbaya
Hahahahahhaha duuuuKwani kamfanyaje yule mwana mtwa mkulu?
Tumbo Tumbo sukusema sheria haisemi hivyo bali sheria hiyo ina kasoro kwa sababu inatumika vibaya. Inapaswa kubadilishwa kwa kuwekewa masharti yatakayozuia matumizi mabayaKaka, Criminal procedure Act[cap 20 R.E.2002] iko Wazi Kwamba mtuhumiwa anaweza kuachiwa katika hatua yoyote ya kesi ispokuwa HUKUMU. Mtuhumiwa anaweza kuachiwa pale tu ambapo Mahakama haijaona kesi ya msingi kwa maana ya Rule Of Case To Answer-Premafacie Case au pale ambapo muendesha mashtaka wa jamhuri(DPP) ameiamuru mahakama isiendelee kusikiliza kesi hiyo ispokuwa kesi iwe imefikia wakati wa hukumu.
.
Rejea kifungu cha 91(1)(2) cha sheria ya taratibu za makoza ya jinai(CPA),pia mtuhumiwa anaweza kuachiwa huru endapo muendesha mashtska au PUBLIC PROSECUTER amejiudhuru kuendelea kuendedha kesi au ame-withdraw ispokuwa tu endapo upande wa utetezi umetoa ushahidi basi muendesha mashtaka haruhusiwi kujiudhuru na mshtakiwa hawezi kuachwa huru,rejea Sect. 98(1) ya CPA
Utaitwa kituoni hivyo utajiandaa. Sasa na zile high hills huko jela sipati picha.Halafu kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivu ukifika nyumbani hukamatwi tena kama kuna lolote?
Atapewa sandles.....hukoUtaitwa kituoni hivyo utajiandaa. Sasa na zile high hills huko jela sipati picha.