Wema Abraham Sepetu nampenda sana

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
54
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu) kwa hiyo naomba ushauri/msaada wenu.
 
kwann unampenda?
umeanza lini kumpenda?
unahitaji nini toka kwake?
 
Katangaze katika vituo vyote vya television
 
Njoo kwetu huku kunamganga anaitwa machondela atakulekebishia ishu yako fasta

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu) kwa hiyo naomba ushauri/msaada wenu.

Kaka una moyo wa ujasiri,unaweza hata kumpigisha simba mswaki.
 
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu) kwa hiyo naomba ushauri/msaada wenu.

Acha upumbavu wewe! mtumie pesa kwenye akauunti yake ya benki bwana sio ujumbe kwenye akaunti yake ya facebook! ingekuwa hivyo watu wangekuwa na wapenzi kuanzia elfu++!
 
Itakua umemtamani? Utampendaje mtu ambae hujawahi ata kuongea nae
 
Bora urudi Sitimbi ukatafute kimwali ndugu yangu,hawa unaowatamani watakumaliza kiinua mgongo chenyewe ubaki unalia, hawana heko hawa,we angaika tu.
 
I said whetever,wherever and whenever mimi nampenda,namtamani na namtaka kwani mapenzi si pesa.
 
kwann unampenda?
umeanza lini kumpenda?
unahitaji nini toka kwake?

safiiii akiweza kujibu na kujielexa vixuri kwa haya matatu bhasii nitamsaidia kumpata ten reason iwe na logic
 
Acha upumbavu wewe! mtumie pesa kwenye akauunti yake ya benki bwana sio ujumbe kwenye akaunti yake ya facebook! ingekuwa hivyo watu wangekuwa na wapenzi kuanzia elfu++!

tena amtafute akiwa na pay in slip mkononi yenye figure nzuri, chezea wadada wa mujini wewe
 
Nampenda kwa kuwa ni mzuri na nafsi yangu inaridhika na yeye,Pia nimempenda tangu siku nying na nimejizuia hadi sasa nimeona niweke wazi na kwake yeye nahitaji mapenz,mahaba na kuwa nae kimaisha.
 
Nakwambia hiki kijitu hakitaki demu ila kinataka tukijue tu -aende tu pale full loaded aone kama hajaitwa honey!
 
hiyo ni ndoto yako, kila mtu anayo ya kwake, ndoto to materialize takes times. Msubiri amalize usichana wake!!
 
Kuna dogo yngu mmoja na yeye umwambii kitu kuhusu wema, anampenda balaa! Yan skendo zote za wema, yeye ndio anazdi kumpenda!
 
Nampenda kwa kuwa ni mzuri na nafsi yangu inaridhika na yeye,Pia nimempenda tangu siku nying na nimejizuia hadi sasa nimeona niweke wazi na kwake yeye nahitaji mapenz,mahaba na kuwa nae kimaisha.
Sasa sie inatuhusu vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…