Wema Abraham Sepetu nampenda sana

Wema Abraham Sepetu nampenda sana

Mtu mwenyewe msagaji kutwa kucha wanasagana na kajala huku petii man akiambiwa asubiri sebuleni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kuna watu wanachosha! Kama ambae sio selebriti unachoka hao maceleb nahisi wanakoma.
 
Mbona kuna wasichana wengi warembo kupita huyo changudoa wema usibabaike rangi utamu wa chai sukari
 
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu) kwa hiyo naomba ushauri/msaada wenu.

ondoa maujinga yako hapa.nenda kaombe ushauri kwa diamond.
 
Nampenda kwa kuwa ni mzuri na nafsi yangu inaridhika na yeye,Pia nimempenda tangu siku nying na nimejizuia hadi sasa nimeona niweke wazi na kwake yeye nahitaji mapenz,mahaba na kuwa nae kimaisha.
you and wema are one and the same person,unajipa promo tu humu!!!yani mwandiko umekusaliti dada,.BTW who is your next scoop?
 
Back
Top Bottom