babamkubwa
Member
- Jul 23, 2013
- 25
- 3
Kuna dogo yngu mmoja na yeye umwambii kitu kuhusu wema, anampenda balaa! Yan skendo zote za wema, yeye ndio anazdi kumpenda!
Mmmh!unaweza kumuudumia?
Wakuu si mara ya kwanza kuweka wazi hili,naomba nirudie tena kusema kuwa Wema nampenda,kwani nimekuwa nikimtumia ujumbe kwenye akaunt yake ya facebook na baruapepe yake bila mafanikio(bila majibu) kwa hiyo naomba ushauri/msaada wenu.
you and wema are one and the same person,unajipa promo tu humu!!!yani mwandiko umekusaliti dada,.BTW who is your next scoop?Nampenda kwa kuwa ni mzuri na nafsi yangu inaridhika na yeye,Pia nimempenda tangu siku nying na nimejizuia hadi sasa nimeona niweke wazi na kwake yeye nahitaji mapenz,mahaba na kuwa nae kimaisha.