Wema afunga ndoa bomani, amficha mume wake

anaehangaika nani sasa? wema ndo anatabu na maisha yake. mtu unaolewa halafu unaficha ili iweje? mixer anaamini ushirikina.
soon bidada atavaa hirizi.
yaan waogopa kufanya yako kisa juju looohhh. mwenzie diamond anafanya yake tu kwa raha zake.
halafu diamond baada ya kuachwa na wema ndo akaenda kwa zari.
dawa yenu kutapika tu maana ndimu zimeshawazoea teh teh
 

How old are you?
 

Hapo sasa.Huyu ana lake zitooo kuliko maelezo.
Wema huyu tunayemjua sisi au yupi wa kuficha kitu?
 
Sakafu mwambie basi apange party kama ya kesho ndio tutajua mjanja nani?

Duh leo umekunwa juu ya Diamond na Zari hauongelei muziki tena unaongelea Boss Lady wa EA na nani wa vigodoroooo?
 

Ndimu Ndimu hata kwa Millard Ayo hajajibu vizuri kama kaolewa au laaaaa....kajibu kutafuta attention kabla ya kesho na naamini kamuomba Millard amuhoji leo...ila kachelewa angesubiri baada ya kesho...ndimu ndimu zimeisha magengeni.

Hivi angekaa kimya na kufanya yake nani angemsema maana wadau wanammwagikia hadi anakuwa mdogo mdogo na timu yake wanakopi picha kudanganya....
 

Acha uongo Wema akimuacha ili aende kutoka na babu ambaye hawezi kuonekana nae in public. Sasa babu kumbe chumvi.....

Majuto teleeeeeeeeeeeee

Zari hakunaga....

Ndio wanawake wajifunze kwake eti D hana nyota kumbe akikuwa yeye hana.
 
Nani angempiga juju waache kumpiga Zari apigwe yeye....kimenukaaaaaa
 
Mtu ukiolewa unajivunia kuongelea ila leo kaongea kiuoga kuwa kaolewa so anatafuta kiki tu bora angejinyamazia na kuacha kusaka interviews

Bado hawezi kufunika kesho

BMW ya babu tamu kuendesha...babu babu huyooooooo ndoa mmmhhhh ikiwa basi mke wa 10.
 
Mmh hii ndoa au kiini macho maana hata martin hajapiga pic hata viatu sijui
Maana juzi kusaini ubalozi wa hospital mpya ya macho matangazo kila kona insta mpaka kizunguzungu hili kulikoniiii

Siku wanarusha picha za eti tangazo sijui movie sijui ndoa, Martin alipiga akiwa nje ya nchi...haya tutasubiri kuona raha ya ndoani ya mkataba kuriwaza roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…