Azidi kuosha rungu tu na atanyoa mno safari hii mawigi ya brazili domo hanunuii tenaa hahhhhhahhha
Huyu jamaa anayeitwa warumi anasaidia sana hakuna haja ya kununua gazeti...
kumbe huu upara ni dalili ya kufulia..
Ataisoma namba namba si anasemaga tuwaache walale maninaa washafuliaa