warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwenyewe amekiri Mara kwa Mara kumzimikia mwana muziki wa kizazi kipya, Diamond platnums na kusema ndiye mwanaume anayemzimikia kuliko mwanaume yeyote, na ndiye mwanaume anaye wish kuwa husband wake apo badae.
Wema: ilitokea tu nikajikuta nimempenda nassib(diamond), na nilijikuta nimezama kwake, wakati mwingine ni vigumu kusema mtu uliyenaye alikuvutia kitu gani, unajikuta tu unampenda
Wema: ilitokea tu nikajikuta nimempenda nassib(diamond), na nilijikuta nimezama kwake, wakati mwingine ni vigumu kusema mtu uliyenaye alikuvutia kitu gani, unajikuta tu unampenda