msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
ikiwa ni wiki chache tangu DIAMOND afuturishe nae WEMA SEPETU AMEFANYA HIVOHIVO..
hii inatafsiriwa kua ni ushindani baridi uliopo kati yao ambao haswa WEMA ndio anaeuendeleza..
hii inaonekana ni style mpya ya mastaa kutakia umaarufu kipindi hiki cha mfungo..

Wema Sepetu akiwa na baadhi wageni waalikwa wakiomba dua

Kutoka kulia ni mbunifu maarufu wa mavazi, Khadija Mwanamboka, Rehema na mtangazaji maarufu wa Magic Fm Mishi B nao wakiomba dua.

Msanii Snura Mushi 'Mama Majanga' (kati) akila tende na mashosti wake muda mfupi kabla ya kupata futari..

Maanjumati yakiandaliwa.
MUNGU AWALAANI WOTE WANAOTUMIA MWEZI HUU KUPATA SIFA,NA AWABARIKI WOTE WANAOUTUMIA MWEZI HUU VEMA..