shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Bora nisiongee mana ntamuudhi Mungu.
Unamjuwa?
Je amewahi kukwambia kuwa hayo unayotenda yanamuudhi?
Au unaendelea kuburuzwa na porojo za vitabu vya wakoloni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora nisiongee mana ntamuudhi Mungu.
Ko kwenye dini umalaya unaruhusiwa,ufisadi, uchawi,utapeli unaruhusuwa make naona wachafu wa aina hiyo wanakimbilia kwenye dini
ni hivi ndugu yangu kufturisha ni sadaka tu na sadaka ipo dini zote na pia naweza kukupa ushauri kidogo endapo unaitaji kufturisha jitaidi kupata wale watu wasiojiweza kabisa ukajua hawa watu wanafunga lkn ftari yao ya shida unaruhusiwa kuwafuturisha hata kila siku kwa mwezi mzima wa ramadhan inategemea na uwezo wako ni ivyo tu mpendwa, nb: kwa hao wanaofuturisha wauza sura ni sawa na hakuna tu y usiende kuwafuturisha wenye hali duni wakasema asante na mungu ikamfikia zaidi kuliko hao wauza sura tujirekebishe binaadamu sisi kwa mungu wote ni sawa tu hakuna ataezidi mwenzie.Hivi hata kiwa haujafunga unaruhusiwa kufuturisha? Je mkristo naye anaruhusiwa kufuturisha? Kuna jamaa yangu mkristo yupo kwenye maandalizi ya kufuturisha.
Ukitaka kupitisha upumbavu na upuuzi wowote ule basi nukuu vitabu vya Dini....my Hero Kiranga