Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Shabiki wa Arsenal utamjua tu.Akwende tu mm nipo sitoki ata kama nanyooshwa
We kwan unajielew A ...ngoja utajua ikifika kwakoAkwende tu mm nipo sitoki ata kama nanyooshwa
Wema na bwana yule hawaivi hata kidogo,Wema alikuwa anaiva na Kikwete na kwa mbaaali LowasaSio tu ku like na ku komenti juu....ila sidhan kama mtu kuwa na bifu na makondakta ndio uhame chama..Yeye aendelee nao tu.