Wema aikataa CCM na kujiunga Chadema?

Kweli nimeamini kwamba....
Kuna vitu vinafananishwa na mambo ya kijinga, na pia mambo mengine yanafananishwa na vitu vya kijinga......[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ebu ngoja niishie hapa kwanza
 
Unaona umeandika kitu cha maana mwenyewe.... Kwi kwi kwi
 
Asset or Liability - by Wilbroad Slaa (Ph.D.)

Huyu Wema ni liability acheni utani Chadema sio kila kapi la CCM ni la kubeba
 
Bado wale waliokuwa wanakata mauno majukwaani, walikuwa wanatuambia wapinzani mtaisoma namba.
 
Mkuu wameniibia hao thread yangu

Niliianzisha celebrities forum masaa yaliyo pita

Muungwana wakaipenda ,wakaichukua

Halafu na huyu jamaa kawaibia muungwana habari yangu na kuileta humu Jf
Ohoooo....[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Hatari sana hii.....
 
Hapa naomba Jack wolper awe mfano wa kuigwa...!


Time will tell..[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Lowasa alijisafisha wapi baada ya kumshutumu nchi nzima kuwa ni fisadi mkubwa?!
Hahahaaaa Lowassa alisafishwa na ccm kisha akasuuzwa na chadema!! Au umesahau ile kauli ya chama Dola kuwa mwenye ushahidi juu ya ufisadi wa Lowassa aende mahakamani? Nani aliwahi kwenda? Kama ccm mumepata huo ushahidi pelekeni tu!hamjachelewa
 
Sio vizr kukurupuka hivyo! Hivyo mkuu ' inafaaa jambo kama hili uwe na uhakika nalo' la sivyo unaweza harbu mpango wake wa kuja cdm ' vumilia kidgo wengi wanakuja' sio Wema tu.
 
hongera kwa utabiri mkuu
 
Kaondoka lowassa ccm nn wema weweee??? Kaondoka kingunge ccm nn wema weweee,kaondoka sumaye ccm nn wema weweeee
kaka umemaliza kila kitu.....ccm tunajiweza kwanza hatuoni mchango wake kwny chama chetu zaidi wanakitia doa aondoke aende akasafishwe uko chadema
 
Kaondoka lowassa ccm nn wema weweee??? Kaondoka kingunge ccm nn wema weweee,kaondoka sumaye ccm nn wema weweeee
Wote hao wanafollowers 2m and above IG?kasepa na kijiji
 
Watoto wa Lumumba kwa mbwembwe! wakati mkimtumia kwenye majukwa alikuwa habugii unga, au ndo ile ya sizitaki mbichi hizi.
 
Atakaetoka na kuitingisha ccm ni JAKAYA KIKWETE PEKEE
 
Ni mpango uliosukwa vzr na unaelekea kupata mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…