Wema akimbilia zanzibar kujificha baada ya kumjeruhi meneja wa hoteli, polisi wavamia nyumbani kwake

Wema akimbilia zanzibar kujificha baada ya kumjeruhi meneja wa hoteli, polisi wavamia nyumbani kwake

Watu bwana. Hivi great thinkers mmekuwaje siku hizi?. Huyu jamaa alikua kazini hapo hotelini je angewezaje kupigana au kumpiga wema wakati analinda kibarua? Pia aliona loophole katika sheria zetu kama angemrudishia wema ni dhahiri angemuumiza na si ajabu kesi ikamgeukia. Ingieni katika viatu vyake halafu mtupe majibu ingekua ni ww ungefanyaje?
 
Najaribu kuangalia mademu mikorogo hapa Zenji ,bado sijamuona huyo wema hapa!ngoja nikamcheki maeneo ya jambiani maana stone town, nungwi ,kendwa matemwe sijamuona!
 
Aliyepigwa vibao tena ni ndugu yangu upande wa mama yangu mzazi anaitwa goodluck Kayumbu labda jina liwe linafanana! Ni bonge la bouncer na karateka haiwezekani kupigwa vibao labda katukanwa! Natuma picha yake.View attachment 101635
Huyu jamaa hawezi kupigwa na kale kadada sema jamaa kaamua kumkomoa achukue mshiko wa fidia, si unajua siku hizi ukimpiga mtu tu umepiga hela yako?
 
Kwa kauli ya Pinda sishangai kwamba wema ameshajifua kwa mapambano ya aina yoyote. Anapiga tu kufanya mazoezi maana ameshachoka kulia.
 
naunga mkono hoja

Back
Top Bottom