Watu bwana. Hivi great thinkers mmekuwaje siku hizi?. Huyu jamaa alikua kazini hapo hotelini je angewezaje kupigana au kumpiga wema wakati analinda kibarua? Pia aliona loophole katika sheria zetu kama angemrudishia wema ni dhahiri angemuumiza na si ajabu kesi ikamgeukia. Ingieni katika viatu vyake halafu mtupe majibu ingekua ni ww ungefanyaje?
Aliyepigwa vibao tena ni ndugu yangu upande wa mama yangu mzazi anaitwa goodluck Kayumbu labda jina liwe linafanana! Ni bonge la bouncer na karateka haiwezekani kupigwa vibao labda katukanwa! Natuma picha yake.View attachment 101635