Wema amempongeza Kim Kardashian kwa kutumia Lipstic yake

13166878_1343284582367432_1079689258_n.jpg

Mnyange na mfanyabiashara wa vipodozi jijini Dar es salaam amempongeza her American counterpart kwa kuweza kutumia bidhaa zake za midomo.Hali hiyo ilitokea baada ya Kim kuweka picha yake kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo Wema alikoment maneno haya huku akitumia hashtags kibao "Thank you sweetheart kwa kutumia bidhaa zangu #KissbyWema #TeamWema #MadamRange #TeamSonny #Wanawaketunaweza #huuMchezohauhitajiHasira #HapaKaziTu #MissTz2006 #BetAwards.
Mimi binafsi nampongeza kama ni kweli kavuka mipaka
Kikii hiiii
 
Mnabisha nini, Kim Kardashian Bongo wapo kibao.
 
Aisee wabongo wengi wamekuwa haters kwa huyu dada kwa chuki na wivu tu......Wasichana nawaelewa coz ni kawaida yao kuwachukia wanaowazidi...Lakini kwa kidume ni jambo la ajabu sana....Ni mtu mmoja tu aliyeomba screenshot mpaka sasa..Wengi wamekimbilia kuponda na kudharau bila kujali kama ni taarifa ya kweli au Laa......Natamani sana huyu dada afanikiwe kuwafunga midomo haters ....And am sure one day she will.....
 
utakuwa kaka meneja Kadindisha
 
Huyo mtu aliyeomba hy screen shots katumiwa?au bd anasubiri?
 
Back
Top Bottom