Wadada wa bongo nao tabu tupu, akiombwa na mamayeke mzazi hata elfu kumi tu mkali kweli! kwa vibwana ataweka rehani hati hati ya nyumba ya babayake.
Domo nae
Si amwambie zari amkopee kwa ivan
Hahahahs
Ngoja team zari na domo waje hapa
Ila milioni 10
Unaanza tu kumkopea mtu...... 5ena just kiboifrendi whoiiii hayo mahapa niachie madeni bado yapo siku hizi??????
Anyway huyu domo si ndio wanasema bilionea????
Waliandikishiana au walipeana kwa Mapenzi yao ya Mahaba nimalize?
We acha tu wamerostishwa wadada wengi mno, anakapatia mkwanja kaserengeti kanasepa, sijui ujinga huu utaisha lini kwa hawa dada zetu. Kuna mama mmoja mjane wa masaki aliwahi mpa mhindi mmoja hati ya nyumba dogo akakopa hela akaanzisha bureu de change kama sikosei ni Exim, doko akasepa na mkwanja mama wa watu akabaki anahangaika na benki.
Ngoja manyani yatokwe povu kwanza page ya tano nitarudi hapa.
Nakumbuka Kulwa alichekwa kwa kukopa ili amalizie MJENGO wake, kumbe na DOTTO nae ni mkopaji!
Nimekumissoo!Hahahaaaa mimi mwenyewe nayasubiri pia
Ngoja manyani yatokwe povu kwanza page ya tano nitarudi hapa.
kama ilivyo kwa wanaume kumuwekea demu vocha kumnunulia iphone, na murano mama yake anavaa khanga ya mtelezo.
nikutaarifu tu hakuna watu ambao wanasaidia wazazi kama wanawake sema huwa hatuwaambii kwakuwa mnajifikiria tu nyie but hela tunawapa wazazi kuliko mnavyo fikiria.
Wema kapotezwa kabisa na Zari labda hii kick itamrudisha. Sasa hivi kila kona Zari Dsm mpaka Naii.
Nimekumissoo!
Ilisemekana dimondo alikuwa na takribani billion moja katika account yake,sasa kwake million kumi ni sawa na hela ya soda,Dawa ya deni kulipa,Wema mama,umefanya poa.Nilidhani uzushi till nlipoona Mange kapost gazeti...
hili neno