Wema amfungulia mashitaka Diamond

Wema amfungulia mashitaka Diamond

Wema kapotezwa kabisa na Zari labda hii kick itamrudisha. Sasa hivi kila kona Zari Dsm mpaka Naii.
 
Wadada wa bongo nao tabu tupu, akiombwa na mamayeke mzazi hata elfu kumi tu mkali kweli! kwa vibwana ataweka rehani hati hati ya nyumba ya babayake.

kama ilivyo kwa wanaume kumuwekea demu vocha kumnunulia iphone, na murano mama yake anavaa khanga ya mtelezo.

nikutaarifu tu hakuna watu ambao wanasaidia wazazi kama wanawake sema huwa hatuwaambii kwakuwa mnajifikiria tu nyie but hela tunawapa wazazi kuliko mnavyo fikiria.
 
Domo nae

Si amwambie zari amkopee kwa ivan

Hahahahs

Ngoja team zari na domo waje hapa

Ila milioni 10

Unaanza tu kumkopea mtu...... 5ena just kiboifrendi whoiiii hayo mahapa niachie madeni bado yapo siku hizi??????

Anyway huyu domo si ndio wanasema bilionea????

We acha tu wamerostishwa wadada wengi mno, anakapatia mkwanja kaserengeti kanasepa, sijui ujinga huu utaisha lini kwa hawa dada zetu. Kuna mama mmoja mjane wa masaki aliwahi mpa mhindi mmoja hati ya nyumba dogo akakopa hela akaanzisha bureu de change kama sikosei ni Exim, doko akasepa na mkwanja mama wa watu akabaki anahangaika na benki.
 
Diamond alipe dini,dawa ya deni kulipa,na walikubaliana kuwa amkopee halafu yeye atalipa,Wema komaa hadi alipe deni
 
Hivi unaanzaje

Milioni 1,2, hadi 10????

Uwiiiiiiiiii

We acha tu wamerostishwa wadada wengi mno, anakapatia mkwanja kaserengeti kanasepa, sijui ujinga huu utaisha lini kwa hawa dada zetu. Kuna mama mmoja mjane wa masaki aliwahi mpa mhindi mmoja hati ya nyumba dogo akakopa hela akaanzisha bureu de change kama sikosei ni Exim, doko akasepa na mkwanja mama wa watu akabaki anahangaika na benki.
 
Ilisemekana dimondo alikuwa na takribani billion moja katika account yake,sasa kwake million kumi ni sawa na hela ya soda,Dawa ya deni kulipa,Wema mama,umefanya poa.Nilidhani uzushi till nlipoona Mange kapost gazeti...
 
kama ilivyo kwa wanaume kumuwekea demu vocha kumnunulia iphone, na murano mama yake anavaa khanga ya mtelezo.

nikutaarifu tu hakuna watu ambao wanasaidia wazazi kama wanawake sema huwa hatuwaambii kwakuwa mnajifikiria tu nyie but hela tunawapa wazazi kuliko mnavyo fikiria.

ni kweli hawajui kabisa! sisi hatupeleki kwa matarumbeta na midundiko. tunatoa kimya kimya! Saa nyingine inabidi uhongwe ili uwasaidie wazazi!
 
Ilisemekana dimondo alikuwa na takribani billion moja katika account yake,sasa kwake million kumi ni sawa na hela ya soda,Dawa ya deni kulipa,Wema mama,umefanya poa.Nilidhani uzushi till nlipoona Mange kapost gazeti...

Heheheheheeee kisa cha kumcheka King wetu kua kafulia hadi anakopa amalizie nyumba?
Kumbe yeye alikua anakopa pia?Uwiiii ndio maana Wema kasepa maana alikua anakopwa hadi papuchi!
 
Back
Top Bottom