Wema amfungulia mashitaka Diamond

Wema amfungulia mashitaka Diamond

yaani dah tena ye kakopa vicoba focus hahaaaaaaa
tooo low

Hahahahaaaaa wema kaamua kufunguka tutasikia mengi sana.Huu ni mwanzo tu.Alianza na mimba leo mkopo...
What's next?Stay tune.....
Uwiiiiiii
 
Domo nae

Si amwambie zari amkopee kwa ivan

Hahahahs

Ngoja team zari na domo waje hapa

Ila milioni 10

Unaanza tu kumkopea mtu...... tena just kiboifrendi whoiiii hayo mahaba niachie madeni bado yapo siku hizi??????

Anyway huyu domo si ndio wanasema bilionea????

Samahani mkuu unaijua bei ya murano???? Ile aliyopewa wema kwenye birthday????
 
Wema ameishiwa sasa anahangaika namna ya kuendesha maisha yake;
Haiingii akilini diamond kukopa 10m/= za vikoba ili afanyie nini.
 
ohoo atafungua mashtaka ya kumdhalilisha kijinsia

Jamani wambeya wenzangu mlio IG ni kweli Wema alitundika picha akila denda na jibaba fulani kisha akasema,'nimekumiss mme wangu wewe ni kila kitu changu...',kuna gazeti linaitwa visa hapa limeweka iyo picha na habari kwamba mme wa huyo baba analalamika kuwa mume ameterekeza watoto!mhuuuu
 
Si wanamahela hawa mapesaaaa sass mini million 10 kukopwa haha mapenzi baba yanpogeukabkuwa shubiiri
 
Jamani wambeya wenzangu mlio IG ni kweli Wema alitundika picha akila denda na jibaba fulani kisha akasema,'nimekumiss mme wangu wewe ni kila kitu changu...',kuna gazeti linaitwa visa hapa limeweka iyo picha na habari kwamba mme wa huyo baba analalamika kuwa mume ameterekeza watoto!mhuuuu

makubwa ndo unaniambia wewe mi hayo magazeti naonaga upuuzi sisomi
jf inatosha afu wema simfollow ig pia hua napitagapitaga tu mara mojamoja km ndo hvyooo
mabigggg wema ana nyota na waume za watu
 
Jamani wambeya wenzangu mlio IG ni kweli Wema alitundika picha akila denda na jibaba fulani kisha akasema,'nimekumiss mme wangu wewe ni kila kitu changu...',kuna gazeti linaitwa visa hapa limeweka iyo picha na habari kwamba mme wa huyo baba analalamika kuwa mume ameterekeza watoto!mhuuuu

Hiyo picha mbona sikuiona????

Haiwezekani umbea unipite wakati nilikuwa nashinda kuangalia video zake za kwa dentist

Ila huyo jibaba (kama kweli) kamkamataje wema...yaani wema katulia anang'ara chezea kulelewa...ingawa its sad kuwa kuna mwanamke ameumizwa kwa hilo...

Acha niende kusaka umbea insta
 
wemq kupenda headlines kwenye magazeti lipo alitafutalo tena zaidi ya hizo million kumi alizomkopa mtalaka wake
 
Samahani mkuu unaijua bei ya murano???? Ile aliyopewa wema kwenye birthday????

Hata anfepewa ghorofa bana

Utakopaje kwa ajili ya kiboyfrendi????

Sasa auze murano alipe deni (na hilo ndilo linalojulikana.....hatujui wema kakopwa vingapi hiiii)

Anyway murrano bei gani vile???
 
hiyo tabia ni common kwa ma boyfrendie karibu wote huwa ukimkopea utachora juu ya maji yaan akidaiwa anaona kama humpendi nakuleta ukali ukali utafikir hajui maana ya neno mkopo. tuache ushabiki kama alimkopesha hata mil 1 nishariti alipe sio mambo yakusema kaishiwa hapa kwahiyo kama hujaishiwa ndo utapanye mil. 10 hapana

Aisee Nimekukubali sana maelezo yako!!sababu Nimeona kama umeongea kwa experience kutokana na yaliyokutokea
 
Huu uzembe unaofanywa na vyombo vya habari ndio unazidi kuongeza dosari.. haiwezekani gazeti linatoa habari bila kuifanyia utafiti wa kina. Ila mwisho wa siku kuna makopo ambayo yanapewa tu kila habari na kuiamini yaaah lazima tutofautiane.

🏃🏃🏃 ni maoni tu..

SOMA HAPA MENEJA WA WEMA SEPETU AKIONGELEA HII
👇👇👇

http://www.bongo5.com/wema-hajampeleka-diamond-mahakamani-martin-kadinda-01-2015/
 
Wema ameishiwa sasa anahangaika namna ya kuendesha maisha yake;
Haiingii akilini diamond kukopa 10m/= za vikoba ili afanyie nini.

Huh.! SHE IS A LOSER...
ATAPIGIKA VIBAYA SANA...
 
Wasichana bana hata siwaelewi! Ingekuwa diamond anamdai huyo changudoa mngesema tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom