Wema amfungulia mashitaka Diamond

Wema amfungulia mashitaka Diamond

Hata anfepewa ghorofa bana

Utakopaje kwa ajili ya kiboyfrendi????

Sasa auze murano alipe deni (na hilo ndilo linalojulikana.....hatujui wema kakopwa vingapi hiiii)

Anyway murrano bei gani vile???

Msingi wa swali langu ulikua ukishajua bei ya murano ambayo diamond alimnunulia wema ndio ungeweza kupambanua madai ya hio habari kama ni ya kweli au laaah...
Haya meneja kakana kwamba si kweli sijui unalionaje hilo swala?
 
Dah hizi Tamthilia bana, ila yote yanawezekana tu maana kwa akili ya kawaida Manager hawezi jua mambo ya chumbani kipindi hawa watu wanabembelezana huku wamekumbatiana wakiombana na kupena kama wapenzi.

Sijui yupi Mkweli hapo.
Na iyo ni hii hii BBC ya UK ama?
 
Hii siyakule kwenye jukwaa la matangazo madogo..
 
Alipe anayo sasa le super bilionea

Tatizo hawa wasanii wetu wanapenda kuishi maisha sio yao

Namwonea huruma sana Diamond huku kujidai kwakwe kijogoo itakuja kum cost.......angeuliza kwanza historia ya utajiri wa zari
 
Back
Top Bottom