Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

hii couple kuachana ni baadae sana. Wanacheza na akili za wabongo ili waje upya baada ya upepo wa leaderz kupita.
 
nina was was na wema na diamond kua na share na shigongo haiwezekani kila gazeti la udaku hawa tu mbili wakosekane
 
Tuvute subira jamani...ukweli utajulikana tu
Nasikia dai bado anamfuataga penny chezea kuwadi halima kimwana...

Hawa nao wamezidi attention zisizo na kichwa wala mguu bora wa move kila mtu na mambo yake itakua vzuri
 
Hata ingekuwa ni mimi nisingempa hata cent 5, demu gani anawaza tu starehe yule…!!!
 
OMG this is the most amazing news...you have changed my life forever
 
niwape tu pole wale mliokua mnanisubiria iyo siku ya kulala uchi pale kona baa!!!
 
Wameachana Jide na Gadna pamoja na kupewa tuzo ya kuishi kwenye Ndoa muda mrefu Valentine ya mwaka jana , itakuwa Wema na Dai Gelofrendi na Boyifrendi tu! ..........
 
mm binafsi nimechoka na habari zao kwani kama wameachana au wapo wote haituhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…