Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

Wema ammwaga Diamond, safari hii ndo basi Tena

hii couple kuachana ni baadae sana. Wanacheza na akili za wabongo ili waje upya baada ya upepo wa leaderz kupita.
Yote yanawezekana ila...wanapenda spotlight aisee bieber haoni ndani!
 
Migogoro hata kwa wanyama haikosekani itakuwa kwa sie wanadamu? Ila domo umezidiiii hutaki Wema ajikwamue...akijikwamua unamuita malaya...akikaa chini unamwambia anatajirisha viwanda, uliahidi mtaji ahadi hutimizi khaaa. Mhurumie mtoto wa mwanaume mwenzako
 
Mambo ya power of destiny aaaahhh yaani hawa kama waphilipian maana tamthili za hawa watu wawili zinanoga kweli
 
nina was was na wema na diamond kua na share na shigongo haiwezekani kila gazeti la udaku hawa tu mbili wakosekane

we ndo umeongea point mi mwenzenu nshawschokaaaa
yaani ht habari siamini wanavyopenda umaarufu mbuzi hawaaaa!!!!
 
yaan kama hukuwakuta front page utawakuta ndan ya pages wananikeraaa mie nasomaga hadithi zao za kufikirika tu habari hizi hua naishia kusoma headings tu!!!!!!
we ndo umeongea point mi mwenzenu nshawschokaaaa
yaani ht habari siamini wanavyopenda umaarufu mbuzi hawaaaa!!!!
 
Kick hiyo soon watakanusha na picha za mabusu meeeengiiiii
 
Na waachane tu bwana....kaachana Dida na Ezden watakuwa wao....

Hhhhaaaaaaa,hawajaachanaa mi leo nimemuona wema anaongelea kipindi chake pia na dai atakua anarushwaaa kwenye kipindi chakeeeee
 
==>> Wema analiwa sana kiboga..so sio mwanamke wa kuishi nae, if u hv money unapiga NYUMA ALL NIGHT..!!
 
Back
Top Bottom